Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #21
Yaani tupo kama kondoo kufuata bila kufikiri. Bibi mmoja huko Iringa alikataa nyumba ya bati na kubaki nyumba ya nyasi kisa baridi kali kwenye nyumba ya bati. Lazima tuangalie na mazingira.Mninga ni gharama kubwa, huko rufiji wanachomea mkaa, huku mjini ni dhahabu.
Ushamba uliopitiliza, tumeacha vigae ambavyo haviingizi joto tunaweka mabati ya msauzi, ndio utajua mabeberu walikuwa na akili.
Unatoa dirisha la mbao unaweka la vioo tupu linalofunguka nusu, unahisi unajua kumbe hujui.