Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Marekani wanakojenga nyumba za mbao tupu utasema wanalinda mazingira? Na usiangalie karibu, si ajabu processing ya aluminium inachafua hewa kama tu processinga ya mbao, au hata zaidi.
Nyumba zao zinatumia miti isiyo adimu, not hardwood...sana sana hardwood utaikuta kwenye floor tu...
Halafu ujenzi wa nyumba unaku controlled na mamlaka sio kama kwetu...
Pia wana misitu kwa ajili ya mbao, yaani miti ya mbao inalimwa kwa wingi kama sisi tunavyolima mahindi...hivyo wanacontrol hali ya zao la miti