Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Portable air condition zipo adi za 300k boss...Mimi siyapendi sababu sehemu ya kuingiza hewa inakuwa nusu dirisha..
Kwa joto la dar alluminium ili ikufae uwe na air conditions vyumbani na sebulen
miaka kadhaa ya mbele wanaongeza partitions 2 kwa chini ambazo hazifunguki, hapo unapata 20%Wengi wanaenda na trend tu,una hoja ambayo hata mie nimekuwa nayo.
Unakuta dirisha limekatwa tena 1ft partition isiyofunguka huko juu hivyo linafunguka 40% pekee.
View attachment 2027336
Seriously vijana hamuyajui madirisha ya mbao?Hayo unayoita madirisha ya mbao yapoje?
Unaweka double, unaweka na grill kwa ndaniYameingia madirisha design mbadala mtaani. Ni ya chuma na kioo yanafunguka Kwa bawaba Kwa nje. Kwahio dirisha zima linaweza kufunguka. Ni kama Yale madirisha ya zamani utayaona kwenye shule za mkoloni. Huitaji grill ukiwa na haya na bei ni nafuu.
Mapungufu: Mwizi akipachua kioo(kinabandikwa kwa gundi) anaongiza mkono anafungua na kuingilia hapo dirishani kwasababu hayawekwi grill.
Maaanina. Umenifikirisha ghafla. Ngoja nitafanya kitu kuongeza ubora hapa kwangu
Pole Sana, nini kifanyike kukabiliana na hao wahuni?Washaondoka na VyaoView attachment 2043291
Tumia nondo au square pipes sio flat bars.Pole Sana, nini kifanyike kukabiliana na hao wahuni?
Hili ndio la msingimadirisha cheap sana tatizo mafundi wanatupiga.nunua material mwenyewe fundi mlipe labour charge
Hizi zinasaidia nn?Tumia multipurpose foam zile za wachina zilizokwenye chupa kama ya dawa ya mbu
Kariakoo ziko kibao
PVC double glass bei yake ipoje kwa dirisha la 5×6Kuna aluminium na PVC..hii PVC ndio inapendeza sana..tena uweke double glass zenye urembo...duh..
Tutafute pesa tuache visingizio
Kwa kweli hii trend mpya ya madirisha ya Aluminium binafsi sijaielewa kabisa. Naona kama hayako classy kulinganisha na ya mbao nzuri kama mninga.
Muonekano wake haunivutii kabisa, naona kama ni kitu fake kinachong'aa. Shida nyingine ni yanafunguka nusu. Dirisha la mbao unalifungua full kabisa.
Bila shaka wenzetu walianza kutumia madirisha ya namna hii kwa sababu ya uhaba wa mbao na bei kubwa ya mbao na si uzuri wake.
Unayaonaje madirisha haya? Na huku kwetu dirisha la mninga na la aluminium ya ukubwa sawa lipi ni bei kubwa?
Marekani wanakojenga nyumba za mbao tupu utasema wanalinda mazingira? Na usiangalie karibu, si ajabu processing ya aluminium inachafua hewa kama tu processinga ya mbao, au hata zaidi.Dunia inaelekea kwenye ulimwengu wa kijani, matumizi ya mbao ni uchochezi wa ukataji miti na kuharibu joto la dunia...
Miaka mingi sana huko nyuma vitu vingi vilikuwa vinaundwa kwa mbao, merikebu, magari n.k, wenzetu walishatoka huko kutokana na kulinda misitu na wala sio gharama au unafuu...
hapa walisafisha nyumba nzima, kama kwao vile,