Sijawai kujihusisha na mapenzi, haya ndio matatizo ninayopata sasa

Fanya mazoezi, kula mbg za majani na matunda kwa wingi, ukiwa nae kitandani hakikisha unabadilisha yako usiwaze jinsi utakavyompiga Ukuni waza kuhusu vitu tofauti na sex mfano madeni hapo itakufanya usiwe na hisia za fasta.
NB. Fanya mazoezi tena konki search youtube.


KWA KUTUMIA BOOSTER
Chukua vitunguu maji kisha uvitwange au kusaga kwenye brenda then weka maji na uchemshe baada ya kuchemsha chuja na weka asali mbichi kwenye yale maji ulyochemsha ya vitunguu.

ACHAA ipoe. Tumia kijiko cha chakula 2x3 kwa wiki au mwezi.

USISAHAU MAZOEZI MBOGA ZA MAJANI (chemsha kwa dk 3-5), kula matunda na unywe maji ya kutosha.

NB : Mazoezi yawe sehemu ya maisha yako.

Samahani kwa Typing error kama zipo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu kama hutojali nipe namba ya uyo mdada
 
Pamoja na ushauri utakaopewa na wanaume wenzio hebu zungumza na mpenzi wako. Mweleze ukweli naona hofu zaidi ndio inayokupa shida.
Siamini kama hii comment imeandikwa na wewe; yaani kistaarabu, kinyenyekevu na kistahaa kabisa.
 
Pole sana mkuu, ila usi-complicate sana kwenye papuchi.. Hata ukipiga hiko kimoja na ukaridhika haina shida..
Demu akikwambia huwezi, hajsridhika potelea mbali hakuna mtu aliyepata prize kwenye love.. Kila mtu apambane na hali yake
Huu ushauri wa mwanachaputa [emoji23][emoji23]
 
Kuna umuhimu wa baadhi ya maeneno ya kizungu kuwekwa kwenye kamusi ili tuwe tunayatamka kwa kiswahili.
 
Mi nimecheka pale jamaa katanua miguu ya dem kaona k ilivo nzuri hapohapo kamwaga ,,

Hdhgdhagfhhahahahgghahaahaahahhahahahajajahajahahahahahaha.

Nimecheka kama mazuri.
 

Nmekusoma kaka
 
Ao agongeweee mpakaa ashangaeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole ndg sikunyinginee jitahidii kucontrol hisia zakoo usizifunguliee Sana ukionaa unakaribia kufika kunako jitahidii kuhamishaa hisiaaa piaa punguzaa kupaniaa tendo napiaa punguzaa hofuu
KINACHO KUSUMBUAA UNAKUWA NA HISIA KALI SANAA
Yani anavuta sana mahisiaa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Hamu zikizidi haya ndo matatizo yake
 
Tatizo kubwa ni kutojiamini. Hujiamini kwa sababu ww mwenyewe unajua hujui hizo mambo na sumu uliyolishwa na walezi wako kuhusu mapenzi ndo inahusika zaidi hapa. Njia rahisi ya ww kutoka kwenye hii hali ni kupata demu mwenye uzoefu wa kutosha.

Na awe anajua tatizo lako..!! Huyo anaweza kukusaidia sana kuanza kujiamini ukiwa ktk mazingira hayo. Na ni vizuri uanze kuchukua hatua haraka sana za kuanza kuondoa hiyo hali uoga ili uanze kujiamini. Usipochukua hatua hata siku umefanikiwa utakuja kuingiza kichwa tu na kumwaga..!! Km huyo mpnz wako ana uelewa wa kutosha na ana uzoefu kuliko wewe sema naye ili akusaidie kuondokana na hiyo hali.

Unaweza kumtumia hata jamaa yako akakutafutia dem kicheche akamueleza kila kitu,ili ukikutana naye ajue jinsi ya kukuandaa kabla ya kuingia. Kwa maelezo yako,hata hizo romance unazodai huwa unafanya na huyo mpnz wako,lazima huwa unapapara.!

Ukiondoa hiyo hali ya kutojiamini hilo tatizo utakuwa umelitatua mkuu.! Pole kwa yote
 
Kicheche si ndo anataka uchomeke asepee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo ndo unammaliza jamaa!!
 
Samahani mkuu
Wewe ni wa dar au mkoani?
Maana haya mambo haya[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…