Sijawai kujihusisha na mapenzi, haya ndio matatizo ninayopata sasa

Wakuu maisha yangu yote sijawai kujihusisha na mapenzi, nilikua napendwa sana na galz but nilikua sina time nao. Wakati nipo 6 niliingia kwenye mahusiano na dada m1 but nilimwacha bila sababu yoyote ya msingi tulidumu kwa mwez tu. Sijawai kusex ndugu zangu, Nilikua nafanya nae romance lazima nimwage wazungu nakua sina ham tena ya romance. Kutokana na kulelewa malez ya kimungu na my family na ushaur niliokuwa napewa na wazaz niliogopa sana kufanya mapenz hasa niliambiwa kuna UKIMWI.

Since nmeingia college sijawai kujihusisha na mahusiano nilikua busy sana na shule hata madem nilikua sina time nao. Nimeishi maisha ya usingle kwa miaka3 yote ya chuo. Baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata mpenzi mwez8, tulipendana sana but yeye alikuw anasoma bado. Kutokana niliona ni muda wangu sahihi wa mm kuanza mahusiano.

Mapenz yalizid kua, tulizid pendana na kila tukimeet tulikuw lazma tufanye romance, shida ilikua kila tukiwa kwa romance sichukui hata dk3 nimemwaga na kuwa sina ham tena. Hali hii ilikuwa inanipa shida sana. Toka niwe kwa mahusiano na huyu dada sikuwai kuwaza kusex nae, ilivofika march mwakahuu dada alianza waka why sijawai omba hata sex?? Au namchepuka?? Ila nashukuru hakuwa kind ya gal anaependa sex.Akaomba weeknd lazma tusex amemiss, nilimwambia sawa. Nililpa lodge elfu30 lakin baada ya kuanza romance dk3 nyingi kwangu namwaga sina ham tena. Nikamwambia dada me siko vzr nxt time japo alikuwa akiendelea nifanyia kashkash but me ndo hvo sina mzuka.

Ilibd tulale tu mle lodge ili kufidia pesa yetu tukasepa. Baada ya hapo nilisafiri july nikarud, kuna doctor nilimweleza abt this akanishauri, ule ushaur niliushauri hta nilivorud nikaomba game akasema sawa. Tulienda lodge kama kawaida dis time nilijitahid sana romance nikafanya nae vzr ikafika stage ya kumvua nguo nilimvua zote. Nilivomtanua miguu niliona K yake ilivokuwa nzuri imetuna nikamwagia boxer. Ham ikakata niliona aibu sana japo dis time nikapotezea kwa kuendelea fanya nae romance baada ya dk20 mashine ikasimama kwenye kuingiza nikawa nashindwa mpaka nikamwaga tena. Nitakuw mgonjwa au shida nn? Au sababu ya kuwa single muda wote?

Miaka yangu yote ya usingle sijawai kuwa addicted na puli japo nilikua napiga sometimes . Nipeni wanajf abt this.
Unatakiwa urelax usiwe na papara na usiwaze sana just relax kunywa maji ya kutosha jiamin kuwa unaweza ukifanya romance usivute hisia fanya huku unawaza mishe zingine ukivuta mahisia mengi utaendelea kujipigia mabao

Ukifanikiwa kuingiza ukiwa una pump ukihisi kwa mbali wazungu wanataka kutoka chomoa fanya romance kama dk 5 rudisha ndan pump dk 5 hii ina itwa 5MIN ROLE unaingiza unapiga dk 5 unachomoa unaromance dk 5 fanya hivyo round 10 ukiwa unabadilisha style tofaut ukifika round ya 10 waweza ruhusu wazung kutoka
Sio lazma ziwe 5 ukifanya hata dk 3 ukihis wanatoka chomoa

Pia jifunze kuzuia wazungu kamavile unavyozuia mkojo kutoka.

Ukipiga round ya kwanza nenda choon kakojoe rudi kunywa maji yakutosha hata lita 1 then tulia dk5 anzen romance tena na muendelee

Ni ushauri tu waweza chukua au kupotezea
 
Da hii kitu ndo silaha yangu uliijuaje mkuu??
 
Pole sana mkuu, ila usi-complicate sana kwenye papuchi.. Hata ukipiga hiko kimoja na ukaridhika haina shida..
Demu akikwambia huwezi, hajsridhika potelea mbali hakuna mtu aliyepata prize kwenye love.. Kila mtu apambane na hali yake

kweli ndio mana kuna wanawake wengi wanachepuka na ndio wanaendana na msemo wako wa kupambana na hali zao 🤣🤣🤣
 
Unatakiwa kufanya mambo mawili au matatu makubwa
1. Usiwe na shauku kuwa ya kimapenzi (Don't be over excited with sex)
2. Jitahidi kuwa na mpenzi wako mara kwa mara ili mwili wako uzoee na kisha hilo tatizo la kumwaga mapema litapungua.
3. Kula vyakula vya asili na ufanye mazoezi mara kwa mara ili kujijengea uwezo wa kimwili.
Hilo nitatozo dogo halina dawa ila ukipata mental healing and emotional healing utakuwa kawaida na utafurahia maisha ya sex
 
Wakuu maisha yangu yote sijawai kujihusisha na mapenzi, nilikua napendwa sana na galz but nilikua sina time nao. Wakati nipo 6 niliingia kwenye mahusiano na dada m1 but nilimwacha bila sababu yoyote ya msingi tulidumu kwa mwez tu. Sijawai kusex ndugu zangu, Nilikua nafanya nae romance lazima nimwage wazungu nakua sina ham tena ya romance. Kutokana na kulelewa malez ya kimungu na my family na ushaur niliokuwa napewa na wazaz niliogopa sana kufanya mapenz hasa niliambiwa kuna UKIMWI.

Since nmeingia college sijawai kujihusisha na mahusiano nilikua busy sana na shule hata madem nilikua sina time nao. Nimeishi maisha ya usingle kwa miaka3 yote ya chuo. Baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata mpenzi mwez8, tulipendana sana but yeye alikuw anasoma bado. Kutokana niliona ni muda wangu sahihi wa mm kuanza mahusiano.

Mapenz yalizid kua, tulizid pendana na kila tukimeet tulikuw lazma tufanye romance, shida ilikua kila tukiwa kwa romance sichukui hata dk3 nimemwaga na kuwa sina ham tena. Hali hii ilikuwa inanipa shida sana. Toka niwe kwa mahusiano na huyu dada sikuwai kuwaza kusex nae, ilivofika march mwakahuu dada alianza waka why sijawai omba hata sex?? Au namchepuka?? Ila nashukuru hakuwa kind ya gal anaependa sex.Akaomba weeknd lazma tusex amemiss, nilimwambia sawa. Nililpa lodge elfu30 lakin baada ya kuanza romance dk3 nyingi kwangu namwaga sina ham tena. Nikamwambia dada me siko vzr nxt time japo alikuwa akiendelea nifanyia kashkash but me ndo hvo sina mzuka.

Ilibd tulale tu mle lodge ili kufidia pesa yetu tukasepa. Baada ya hapo nilisafiri july nikarud, kuna doctor nilimweleza abt this akanishauri, ule ushaur niliushauri hta nilivorud nikaomba game akasema sawa. Tulienda lodge kama kawaida dis time nilijitahid sana romance nikafanya nae vzr ikafika stage ya kumvua nguo nilimvua zote. Nilivomtanua miguu niliona K yake ilivokuwa nzuri imetuna nikamwagia boxer. Ham ikakata niliona aibu sana japo dis time nikapotezea kwa kuendelea fanya nae romance baada ya dk20 mashine ikasimama kwenye kuingiza nikawa nashindwa mpaka nikamwaga tena. Nitakuw mgonjwa au shida nn? Au sababu ya kuwa single muda wote?

Miaka yangu yote ya usingle sijawai kuwa addicted na puli japo nilikua napiga sometimes . Nipeni wanajf abt this.
MKUU TATIZO UNAKAMIA SANA NA UNAWEKA MAWAZO YAKO NA AKILI YAKO YOTE KWENYE KU SEX HUO MUDA,. HIYO HALI INAFANYA MWILI UNAKUWA NA MUHEMUKO MKUBWA SANA NA JOTO LINAKUWA KUBWA SANA. JAMBO LA MSINGI - RELAX, NA PUNGUZA PRESHA YA MWILI JUU YA JAMBO UNALOKWENDA KUFANYA. NA UKIWA NAE WEKA ANZISHA STORY MPYA KABISA NJEA YA SEX NA WEKA MAWAZO YAKO MBALI NA HISIA ZA SEX.. HAPO UTAFAULU SANA MKUU
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Nilivomtanua miguu niliona K yake ilivokuwa nzuri imetuna nikamwagia boxer. "
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Mungu wangu...pole sana
 
N kawaida sana, hamu inakua Kubw ndo inasababisha. Mi nlianza Sex nlipomaliza chuo for the first time nlilala na mwanamke usiku kucha ilikua nkiingiza tu nmemwaga dah basi mwenzangu alkua anaboreka sana, nlienda round 8 for a single night.
Nlicho gundua n saikolojia unaona kitu cha ajabu kusex na monkali inakua juu sana. With time itapungua na utakua okay!
 
Mzee hicho kitu unatakiwa urelax ..feel normal yan kitu cha kawaida usiwaze sana kuhusu sex mzee .....akili yako yote isiwe kwenye k ..........
 
Achana na ushauri mzaha. Huu ni ugonjwa, Unaitwa pre-mature ejaculation. Fungua Google, search premature ejaculation utapata jinsi ya kuitibu. Lakini ni lazima uwe unafahamu Kimombo.

Sure hiki ndo cha kumshauri hii ni pre - mature ejaculation mkuu afate tu ushauri kimombo kwake itakuwa si tatizo maana kafika chuo🤪🤪
 
Mkuu ulikosea sana kufuata ushauri wa kutokula papuchi toka zamani kisa kuogopa miwaya,tatizo lako haujiamin nenda tafuta wataalamu wakushauri maana mimi napiga mpaka majimama full confidence
 
Tatizo kubwa ni kutojiamini. Hujiamini kwa sababu ww mwenyewe unajua hujui hizo mambo na sumu uliyolishwa na walezi wako kuhusu mapenzi ndo inahusika zaidi hapa. Njia rahisi ya ww kutoka kwenye hii hali ni kupata demu mwenye uzoefu wa kutosha.

Na awe anajua tatizo lako..!! Huyo anaweza kukusaidia sana kuanza kujiamini ukiwa ktk mazingira hayo. Na ni vizuri uanze kuchukua hatua haraka sana za kuanza kuondoa hiyo hali uoga ili uanze kujiamini. Usipochukua hatua hata siku umefanikiwa utakuja kuingiza kichwa tu na kumwaga..!! Km huyo mpnz wako ana uelewa wa kutosha na ana uzoefu kuliko wewe sema naye ili akusaidie kuondokana na hiyo hali.

Unaweza kumtumia hata jamaa yako akakutafutia dem kicheche akamueleza kila kitu,ili ukikutana naye ajue jinsi ya kukuandaa kabla ya kuingia. Kwa maelezo yako,hata hizo romance unazodai huwa unafanya na huyo mpnz wako,lazima huwa unapapara.!

Ukiondoa hiyo hali ya kutojiamini hilo tatizo utakuwa umelitatua mkuu.! Pole kwa yote

Ahsante kwa ushaur, unasema kwwl
 
Back
Top Bottom