Sijazielewa hizi ruzuku za pembejeo za kilimo Bashe

kodo1

Member
Joined
Apr 3, 2025
Posts
52
Reaction score
83
Hizi ruzuku zimekaaje yaani mfuko wa Ura 71000 kwa ruzuku bila ruzuku 74000, can 62000 kwa ruzuku bila ruzuku 65000.

Bashe hapo umepigaje? sasa bora zirudi bei za 50000 kama zile za nyuma kipindi kile. kwanza mbolea nyingi ni feki mamlaka za kudhibiti zinaongwa tuuu
 
Punguza mihemko.
 
Msomali mwizi tena jambanzi hastahili kuwepo uraiani anapaswa kuwa jera mda huu
 
Hizi ruzuku zimekaaje yaani mfuko wa Ura 71000 kwa ruzuku bila ruzuku 74000, can 62000 kwa ruzuku bila ruzuku 65000.

Bashe hapo umepigaje? sasa bora zirudi bei za 50000 kama zile za nyuma kipindi kile. kwanza mbolea nyingi ni feki mamlaka za kudhibiti zinaongwa tuuu
Ruzuku ina implications kwenye matumizi ya serikali, kwahiyo nadhani hawawezi tu kutoa ruzuku mpaka 50000 wakati bei ya soko ipo kwenye 74000 na pia kikubwa zaidi, hiyo bei ya 71000 ndo bei ambayo inaonekana wakulima wanaimudu, sasa kwanini ushushe mpaka 50000?
 
kabla ya hapo tulinunua 50000 bila ya hayo maruzuku yao
 
Wawezeshe kwanza kilimo cha umwagiliaji nchi nzima

Sio kupeleka mambolea yanayochoma tu ardhi kwa mvua za kuungaunga

Kuna athari za joto duniani kote majira yamebadilika sana

Wakulima wa kawaida Tz bado wanategemea malaika wakusanye mawingu ndio walime.!

Ukweli ni kwamba kwamba hawana pesa wala mitaji ya kumudu takataka zozote zile zitolewazo na inayoitwa serikali, wapo hoi
 
Back
Top Bottom