Punguza mihemko.Hizi ruzuku zimekaaje yaani mfuko wa Ura 71000 kwa ruzuku bila ruzuku 74000, can 62000 kwa ruzuku bila ruzuku 65000.
Bashe hapo umepigaje? sasa bora zirudi bei za 50000 kama zile za nyuma kipindi kile. kwanza mbolea nyingi ni feki mamlaka za kudhibiti zinaongwa tuuu
Msomali mwizi tena jambanzi hastahili kuwepo uraiani anapaswa kuwa jera mda huuHizi ruzuku zimekaaje yaani mfuko wa Ura 71000 kwa ruzuku bila ruzuku 74000, can 62000 kwa ruzuku bila ruzuku 65000.
Bashe hapo umepigaje? sasa bora zirudi bei za 50000 kama zile za nyuma kipindi kile. kwanza mbolea nyingi ni feki mamlaka za kudhibiti zinaongwa tuuu
Ruzuku ina implications kwenye matumizi ya serikali, kwahiyo nadhani hawawezi tu kutoa ruzuku mpaka 50000 wakati bei ya soko ipo kwenye 74000 na pia kikubwa zaidi, hiyo bei ya 71000 ndo bei ambayo inaonekana wakulima wanaimudu, sasa kwanini ushushe mpaka 50000?Hizi ruzuku zimekaaje yaani mfuko wa Ura 71000 kwa ruzuku bila ruzuku 74000, can 62000 kwa ruzuku bila ruzuku 65000.
Bashe hapo umepigaje? sasa bora zirudi bei za 50000 kama zile za nyuma kipindi kile. kwanza mbolea nyingi ni feki mamlaka za kudhibiti zinaongwa tuuu
kabla ya hapo tulinunua 50000 bila ya hayo maruzuku yaoRuzuku ina implications kwenye matumizi ya serikali, kwahiyo nadhani hawawezi tu kutoa ruzuku mpaka 50000 wakati bei ya soko ipo kwenye 74000 na pia kikubwa zaidi, hiyo bei ya 71000 ndo bei ambayo inaonekana wakulima wanaimudu, sasa kwanini ushushe mpaka 50000?