Sijui amenichukuliaje huyu dada?

Sijui amenichukuliaje huyu dada?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Kuna DEMU mzuri kama Malkia leo ameniangalia muda mrefu tukiwa kwenye daladala ya Gongo la Mboto kwenda Makumbusho nikajua maybe amenipenda,

Nikamfata nikamuuliza vipi? Mbona unaniangalia hivyo akaniambia "Nakufananisha na kibaka alieniporaga simu yangu"😥

Mjinga sana yule dada. Hivi hajui kama mimi ni mtumishi wa MUNGU? Sijui kalivuta bangi na wigi lake baya dah?🤦🏃🏃
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Matatizo ya kujipendekeza hayo
 
Mjinga sana yule dada! Hivi hajui kama mimi ni mtumishi wa MUNGU? Sijui kalivuta bangi na wigi lake baya dah?🤦🏃🏃
Bila ya shaka kakufananisha na kibaka mla sadaka za waumini🤣🤣.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ya kawaida hayo mtumishi usifadhaike sana,angesema amekufananisha na P-diddy najua wala usingekuja humu kulalamika...
 
Kuna mmoja aliniangalia kama ivo nikamuuliza akanambia yani unafanana na mme wangu duh!
Kilichofuatia sasa......Itaendelea
 
Kuna mmoja aliniangalia kama ivo nikamuuliza akanambia yani unafanana na mme wangu duh!
Kilichofuatia sasa......Itaendelea
Mkuu kiliendelea nini ebu tupe story japo kidogo
 
Mtumishi wa Mungu baada ya kufananishwa na kibaka ndio ukaona wigi la mrembo baya 😂😂😂😂 mabaharia hatukosagi kasoro tukizinguliwa pole sana baba mchungaji.
 
Alijua akikusifia hutoki bilaa namba na isitoshe pia namna ulivyomfata yawezekana ulikosea pia kama wewe ni mbayaaa basi hayo ndio malipo na mshahara wako [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikuweza sanaah lol
 
Back
Top Bottom