Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Kuna DEMU mzuri kama Malkia leo ameniangalia muda mrefu tukiwa kwenye daladala ya Gongo la Mboto kwenda Makumbusho nikajua maybe amenipenda,
Nikamfata nikamuuliza vipi? Mbona unaniangalia hivyo akaniambia "Nakufananisha na kibaka alieniporaga simu yangu"😥
Mjinga sana yule dada. Hivi hajui kama mimi ni mtumishi wa MUNGU? Sijui kalivuta bangi na wigi lake baya dah?🤦🏃🏃