Sijui bikra yangu ilitoka vipi? Au sikuzaliwa bikra?



Zaidi ya vidole vya TARATIBU uliwahi kuwa unaendesha baiskeli au kupanda farasi?? Wazoefu wanasema hivyo navyo huzibandua bikra kimya kimya....Wenye uhakika wanaweza kutusaidia...
 
Sasa kiukweli bikira bado. Unayo ila nakuomba nifate inbox uone jinsi bikirayako ilipo
 
kumbe damu inatakiwa itoke! okey subiri yangu itakapotolewa niangalie km damu itatoka.
 
dada utakua ulikua unaingiliwa bila kujijua
 
Lmao, I don't normally like Jf but
this was epic!!
 
Mim nimeelewa huyo mwanaume ndo alimwekea kidole....!Au nimeeleewa vibaya
..maana watu mnakazania punyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…