mode shirima
Member
- May 23, 2016
- 20
- 12
Ilitoka wakati ukicheza ( rede) ukiwa shule ya msingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nasikia siku ya kwanza mwanamke kukutana na mwanaume ni lazima damu imtoke,haikutokea kwangu,nakumbuka nilikutana na mwanaume kwa mara ya kwanza nikiwa na miaka 26 yupo alietangulia mwaka mmoja nyuma nakumbuka aliweka tu kidogo nikapiga kelele akaacha.Haikutoka damu yoyote,mwaka uliofuta ndo huyu mwingine tulifanya mwanzo mwisho niliumia tu kidogo ila haikutoka damu yoyoye.
Je bikra yangu ilienda wapi huwa najiuliza sana. Je kujichua kunaweza kutoa bikra? Mbona nako sikuona damu?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]Hii fursa ngoja nichangamkie kumbe bado bikira zipo!!!
Lazima damu nitoe chezea kitu kilichoatyti.Bikra ni 'hali/state' ya kutomjua mwanaume, damu ni just by the way..