Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Nakubaliana na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askofu wa wajinga huyu hafai hata kidogo.
 
Vipi kwa musigwa hapo unasemaje au mama rwakatale hapo unasemaje au yule rais wa aliyeshinda wapi huko malawi kama sijakosea.
 
Alivyo watukana waislam hukusikia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiufupi Gwajima hapaswi kupata kura yeyote hapo Kawe, hata mkewe hapaswi kumpigia kwani ni msaliti wa ndoa yake.

Khs kutukanwa waislamu sijasikia, japo waisilamu nao wanapaswa wamwamini Yesu kuwa ni Neno la Mungu . Wasiishie kwenye shahada ya pili, wafike ya tatu. Kwamba Yesu ni Nabii, ni Mtume, ni Roho, na ni Neno.
 
Vipi kwa musigwa hapo unasemaje au mama rwakatale hapo unasemaje au yule rais wa aliyeshinda wapi huko malawi kama sijakosea.
Wale hawakuwatukana maaskofu wenzao wala hawakuwa afya waislam.....ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…