Ni mpuuzi binafsi sipendi mambo yake ya hovyo amewafanya waumini wake kama misukule asemacho hata ujinga wanapiga makofiAmeongea hayo wakati siyo mbunge ,je akishinda ?tumkatae gwajima
Huo ndio uzalendo linapokuja suala la maslahi ya Tanzania kuwa mkweli na kuacha itikadi zetu pembeni big up kwa hili.Mimi ni mwana CCM tena yule 'Ndaki Ndaki' au 'Lia Lia' ila nina tatizo ( Kasoro ) kubwa kutopenda Unafiki, kuwa Muoga, Kuongopa na Kujikomba.
Kikubwa zaidi bila kuongelea kashfa na maneno yake ni kuwa anaenda bungeni kubariki sera mbovu na za ukandamizaji za CCM, wenye akili wa Kawe hawawezi kuruhusu hilo litokee.Ameongea hayo wakati siyo mbunge ,je akishinda ?tumkatae gwajima
Alimshambulia Askofu Pengo kama mtu binafsi, lakini alijidai hatambui mamlaka ya Askofu Pengo kikanisa, na alimtukana, mjinga na mpumbavu.
Subiri utaona watakavyogombania jukwaa lakeMimi si Mkatoliki ila wakatoliki wengi wana misimamo thabiti linapokuja suala la kashfa na dharau kwa viongozi wao
Lakini hakupaswa kujibiwa kihuni na kijana mdogo kama Gwajima wakatoliki na wafahamu watamtendea haki yake Gwajimasi kwamba nasimama na gwajima lahasha! Nachotaka kusema ni kwamba pengo hana heshima unayoifikiria kwa wakatoriki sababu Mara kadhaa amepata kuharibu credibility ya kanisa huyo Mzee!
Hapa kamati kuu imeingia choo cha kike ikiwezekana wabadilishe gia angani
Sidhani kama wanaweza kuwa watu wa namna hiyo ingawa kwenye siasa lolote linawezekana.Subiri utaona watakavyogombania jukwaa lake
Wakatoliki hatuko na hiyo tabia.Pamoja na Ulofa wako angalau Leo umenena la maana, Kwa niwajuavyo ndugu zangu wa kikatoliki watakua wanapandishwa katika majukwaa yake ya kampeni ili kumsafisha kwanza baada ya kupewa mlungula.
Hizo kauli zake zilikuwa zimesahaulika naona zimeibuka tena gafla baada ya kushinda ,hii funzo kwamba kuwa makini na unachoongea itafika mda itakuathiri ,sasa hivi hii hoja yake imeibuliwa upya tena kwa ushawishi mkubwa
Hilo ni kweli ila hii itachafua taswira halisi ya Tanzania, Dar es salaam na Kawe binafsi natamani uchaguzi uwe huru na haki maana kuna maisha baada ya uchaguzi.Wameshachelewa na ninachojua tu ni kwamba kama kuna Jimbo ambalo Askari Polisi na FFU wengi watajaa wakati wa Kutajwa Matokeo ni Kawe.
Bado kazi ni ngumu sana kawe kutafuka moshiNaiona kawe ya kilokole zaidi hapa Gwajima pale Mwamposa
Mimi si Mkatoliki ila wakatoliki wengi wana misimamo thabiti linapokuja suala la kashfa na dharau kwa viongozi wao
Hao ccm huwa wanatumia mabavu sio akili. Ningeshangaa kama wangetumia akili kufikiri.Nawalaumu sana 'Research Team' ya CCM kwa Kushindwa Kwake 'Kumshauri' vyema Mwenyekiti Taifa Rais Magufuli juu ya hili. Ninaogopa mno tu!
Ameongea hayo wakati siyo mbunge ,je akishinda ?tumkatae gwajima
Huenda Pengo na waislamu walishamsamehe Gwajima hivyo hayo yameshapita, sasa tunaganga yajayo.
Kila laheri Askofu Gwajima na wagombea wengine wote.