Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Hujui usemalo, ni bora ungekaa kimya.
 
Huenda Pengo na waislamu walishamsamehe Gwajima hivyo hayo yameshapita, sasa tunaganga yajayo.

Kila laheri Askofu Gwajima na wagombea wengine wote.

Una ile link ya ile video yake ya ngono mkuu? Nilikua nataka niichek tena yule demu ni kama nimemfananisha na mtu flani.
 
Waache ujinga
Wanajifanya kama hawajui zile mbinu zetu za kuiba kura au zile za kuingiza masunduku ya kura ambazo zimeshapigwa.

Ccm tuna jeshi
Ccm tuna polisi
Ccm tuna mabunduki
Ccm tuna mabomu
Ccm tuna kila kitu

Hivi nyinyi
Wapinzani mna nini cha kujivunia.

Msipotupa kura zenu , tutaziiba kwa mabavu.
 
Ni bora hata wangempitisha mwenzetu @Pascal Mayalla asiye na kashfa
Sijui huyu ndugu na rafiki yetu anakwama wapi?
Kwanza ana tokea Kanda pendwa
Pili ana weledi ktk mambo mengi Sana.
Tatu anajulikana Sana.

Paskali ndugu yangu nn tatizo?

USHAURI: Wakati mwingine punguza ubize wa mambo yako uwe unaenda kushinda kwenye korido za Lumumba ukitafuta koneksheni.

Na-declare interest. Paskali ni role model wangu.
 
Halima Mdee hana kazi kubwa ya kufanya, anachotakiwa kufanya ni kuchukua TV screen kubwa na kuweka video ya Gwajima akifufua mtu, kisha kuwauliza wapiga kura je mnamuunga mkono muongo na Tapeli huyu kuwa kiongozi wenu?

Watu watasema hapana!

Kisha anamwaga sera zake, anafunga mkutano na kusepa. Ushindi ni asubuhi na mapema tu!
 
[SUP]Umesahau kuwa mna na tume? Bado mwaweza kutangaza ndivyosivyo![/SUP]
 
Ccm hapo wamebugi jimbo lenye wakazi wenye imani tofauti za dini mnamsimamisha kiongozi wa dini moja mnategemea ushindi kwl???labda kwa mtutu......

Kwa ni Halima mdee ni kiongozi wa Nguruwe? Hahahah

Sasa nimeanza kuamini Halima mdee kapata saizi yake!
 
Huyo Askofu tapeli mpigeni chini fasta.

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…