n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Hujui usemalo, ni bora ungekaa kimya.Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.
Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna.
Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa