Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wakatoliki wa kawe pia hawamtaki huyu Porn Star ataendelea kuwatukana viongozi wa kanisa katoliki kuwa wamekula maharagwe yaliyooza.Waislamu hatumtaki gwajiboi kawe anampango wa kuufuta uislamu kwa kubadili madrasa kuwa sunday school.
Sheria sasa inatufunga,hatuwezi kubadili gear angani!Dah,hii ya mwaka.Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.
Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna
Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa
Baba tupia lile dude Gwajiboy anakaja maunoπππππππKwa ni Halima mdee ni kiongozi wa Nguruwe? Hahahah
Sasa nimeanza kuamini Halima mdee kapata saizi yake!
πππWaache ujinga
Wanajifanya kama hawajui zile mbinu zetu za kuiba kura au zile za kuingiza masunduku ya kura ambazo zimeshapigwa.
Ccm tuna jeshi
Ccm tuna polisi
Ccm tuna mabunduki
Ccm tuna mabomu
Ccm tuna kila kitu
Hivi nyinyi
Wapinzani mna nini cha kujivunia.
Msipotupa kura zenu , tutaziiba kwa mabavu.
Nimekuwa nasema marakwamara humu jf kwamba viongozi wa kitaifa wajifunze kutunza kauli zao hawasikii, pia uwamuzi wowote utakaoufanya maishani mwako utawajiba nao.'Public figures have to keep their words and that any decision you make in life You are responsible for it'Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.
Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna. Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa
Kumbe unashabikia CCM kuitumia TISS hata katika mambo ambayo chombo cha dola ni aibu kutumiwa na chama cha kisiasa ?Research imefanywa na Eagle house, na Mzee hapinduwi kwa wale jamaa, wamemsaidia sana na anawaamini sana.
Watanzania wamekosewa sana na ccm kuliko huyo Gwajima na bado wanaipigia kura ccm
Yaani wanna kawe mnatudharau Sana mnatuletea mgombea wa wa hivi kabisa.Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.
Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna. Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa.
Hawezi kufuta uisalam lakini atacreate unnecessary constraints within kawe community kwa kujaribu kutimiza lengo Lake la kufuta uisalam.Kwa hiyo ndugu yangu na utu uzima huo unaamini Gwajima anaweza kuufuta Uislamu?
Hv unafikiri waislamu na waumini wa dini zingne watampa kura Gwajima????
Leo kwenye jumuiya tumeshaanza kupewa maelekezo ya namna ya kumtawanya huyu porn star.Mimi ni Mkatoliki, wakatoliki tulio wengi tuliokuwa hatupendezwi na uhuni wa Pengo kuligeuza kanisa kama sehemu ya jumuiya za ccm tulikuwa na tunaendelea kusisitiza Gwajima alikuwa sahihi kwa 100%
Issue ya Mahakama ya kadhi ni hatari kwa nchi yetu na ccm ilikuwa inawatumia mawakala wake kama huyu Pengo kubaliki vitu vya hovyo ambavyo vilikataliwa kwenye mkutano wa pamoja wa maaskofu.
Kwa hili tuache propaganda uchwara, wanaotaka kumuhukumu Gwajima kwa hili la Pengo wamuhukumu kwa haki na watafute sababu, mkumbuke Magufuli ni mkatoliki na anamuheshimu sana Pengo, anajuwa vyema Pengo ndio mkosefu katika hili na atuombe radhi wakristo wote kabla hajafa, huyu mzee ni msaliti.
Video ngapi za ngono za Msigwa umewahi kuziona.Kama walimpa Msigwa kwanini wasimpe Ngwajima? Kwani Msigwa ni mchungaji wa nguruwe? Ngwajima atashinda
Kwamba sio afisa kipenyo πππTatizo Pascal mayalla sio "Afisa Kipenyo[emoji2]"
Gwajima hakutukana, alisema ukweli kuhusu mwenendo wa ukigeugeu wa Askofu Pengo! kuwa ''ameaibisha Kanisa Katoliki ambalo linaheshimika Duniani alisema ''wenzako wanatoa maamuzi pengo analewalewa kama mtoto mdogo'' ina maana aliwageuka maaskofu wenzake kuhusu msimamo wa Mahakama ya Kadhi!Alimshambulia Askofu Pengo kama mtu binafsi, lakini alijidai hatambui mamlaka ya Askofu Pengo kikanisa, na alimtukana, mjinga na mpumbavu.
Pornstar [emoji2]Yaani wanna kawe mnatudharau Sana mnatuletea mgombea wa wa hivi kabisa.View attachment 1544828
Wewe mamluki wa upinzaniGwajima sijapata kumuelewa.anawapa mzigo CCM kumnadi.
kama vp acha Halima aende.sijaridhika kabisa upitishwaji wa Gwaji boy.
Kama walimpa Msigwa kwanini wasimpe Ngwajima? Kwani Msigwa ni mchungaji wa nguruwe? Ngwajima atashinda
Sawa tu.mawazo yako nayaheshimu.Wewe mamluki wa upinzani