Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.

Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna

Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa
Sheria sasa inatufunga,hatuwezi kubadili gear angani!Dah,hii ya mwaka.
 
Kwa ni Halima mdee ni kiongozi wa Nguruwe? Hahahah

Sasa nimeanza kuamini Halima mdee kapata saizi yake!
Baba tupia lile dude Gwajiboy anakaja mauno😂😂😂😂😂😂😂

CCM sijui mmewachukuliaje wana Kawe mwaka huu?😂😂😂😂😂
 
Waache ujinga
Wanajifanya kama hawajui zile mbinu zetu za kuiba kura au zile za kuingiza masunduku ya kura ambazo zimeshapigwa.

Ccm tuna jeshi
Ccm tuna polisi
Ccm tuna mabunduki
Ccm tuna mabomu
Ccm tuna kila kitu

Hivi nyinyi
Wapinzani mna nini cha kujivunia.

Msipotupa kura zenu , tutaziiba kwa mabavu.
😂😂😂
 
Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.

Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna. Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa
Nimekuwa nasema marakwamara humu jf kwamba viongozi wa kitaifa wajifunze kutunza kauli zao hawasikii, pia uwamuzi wowote utakaoufanya maishani mwako utawajiba nao.'Public figures have to keep their words and that any decision you make in life You are responsible for it'
 
Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.

Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna. Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa.
Yaani wanna kawe mnatudharau Sana mnatuletea mgombea wa wa hivi kabisa.

IMG_20200821_175230.jpg
 
Kwa hiyo ndugu yangu na utu uzima huo unaamini Gwajima anaweza kuufuta Uislamu?
Hawezi kufuta uisalam lakini atacreate unnecessary constraints within kawe community kwa kujaribu kutimiza lengo Lake la kufuta uisalam.
 
Mimi ni Mkatoliki, wakatoliki tulio wengi tuliokuwa hatupendezwi na uhuni wa Pengo kuligeuza kanisa kama sehemu ya jumuiya za ccm tulikuwa na tunaendelea kusisitiza Gwajima alikuwa sahihi kwa 100%

Issue ya Mahakama ya kadhi ni hatari kwa nchi yetu na ccm ilikuwa inawatumia mawakala wake kama huyu Pengo kubaliki vitu vya hovyo ambavyo vilikataliwa kwenye mkutano wa pamoja wa maaskofu.

Kwa hili tuache propaganda uchwara, wanaotaka kumuhukumu Gwajima kwa hili la Pengo wamuhukumu kwa haki na watafute sababu, mkumbuke Magufuli ni mkatoliki na anamuheshimu sana Pengo, anajuwa vyema Pengo ndio mkosefu katika hili na atuombe radhi wakristo wote kabla hajafa, huyu mzee ni msaliti.
Leo kwenye jumuiya tumeshaanza kupewa maelekezo ya namna ya kumtawanya huyu porn star.

Baraza la Walei limeshaanza kusabambaza ujumbe Kawe nzima.
 
Alimshambulia Askofu Pengo kama mtu binafsi, lakini alijidai hatambui mamlaka ya Askofu Pengo kikanisa, na alimtukana, mjinga na mpumbavu.
Gwajima hakutukana, alisema ukweli kuhusu mwenendo wa ukigeugeu wa Askofu Pengo! kuwa ''ameaibisha Kanisa Katoliki ambalo linaheshimika Duniani alisema ''wenzako wanatoa maamuzi pengo analewalewa kama mtoto mdogo'' ina maana aliwageuka maaskofu wenzake kuhusu msimamo wa Mahakama ya Kadhi!

Tatizo sas baadhi ya watanzania wasio wakatoliki wana vi herehere vya kum-hukumu Gwajima ndivyo sivyo wanavyo dhani kuwa ni sahihi kwa upande wao. wanakuza mambo! ili Gwajima aukose Ubunge.

Wakatoliki ni waelewa sana kuliko Madhehebu yote, RC wote mpaka Vatican waliamini ''Pengo aliwaaibisha'' Papa kaona isiwe tabu aliruhusu serikali wamuachie Gwajima asibughudhiwe aheshimiwe, na pengo alistaafishwa kwa manufaa ya kanisa. yuko wapi leo umewahi kumsikia tena?

Kama Gwajima alitukana mbona pengo hakutia neno wala kujibu shutuma? hapa pengo alikubali maneno ya Gwajima kuwa yuko sahihi mpaka akasataafu km alivo agizwa na Gwajima. nam nukuu ''ondoka mzee! kalale zako mzee, umechoka mzee.... na kweli kalala mpaka saa hii amelala. km hajalala nampa saa 5 anijibu hapa.
 
Back
Top Bottom