maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Upo mkoa gani ambako walioolewa wanavaa sketi ndefu za marindaHao uliowapost hapa hakuna aliyeolewa mkuu, hao ni magume gume ya mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo mkoa gani ambako walioolewa wanavaa sketi ndefu za marindaHao uliowapost hapa hakuna aliyeolewa mkuu, hao ni magume gume ya mjini
Na madem ambao ni rahisi kuchapa ni hawa wanaojifanya kuvaa sijui ndo wanaita kuvaa kiheshima.Wanawake wanaovaa hivyo mara nyingi wanaakili nyingi na exposure kubwa na hawachapiki kizembe kama hawa wa magauni ambao hata bodaboda wanajipigia. Kumchapa dem wa hivi kama ni mke wa mtu ni hadi awe kakuelewa sana na uwe na akili kubwa au mkwanja mrefu kama anatamaa. Kwanza ukijichanganya anaweza kukuchana live ukaona nyotanyota hasa ukimuingia kizembe ukidhani kavaa hivyo ili umtongoze.
NB; Ni rahisi kumchapa dem mlokole kuliko kumchapa dem wa hivyo
KwakweliNjia ya kuzuia kuchapiwa bado haijagundulika, we muamini tu
Huyu shemegi etu wa tandahimba hapendi viminiWengine wanapenda wake zao wavae vimini
Waambie hao. Mimi navaa nguo fupi na huko ofisini kwetu wala hakuna mambo hayo sijui ya kuchapwa hovyo. Kujiheshimu si lazima uvae sijui Juba au dera au gauni refu, iko ndani ya nafsi. Sijawahi hata siku moja kuwa na mahusiano ofisini au kuchepuka.Wanawake wanaovaa hivyo mara nyingi wanaakili nyingi na exposure kubwa na hawachapiki kizembe kama hawa wa magauni ambao hata bodaboda wanajipigia. Kumchapa dem wa hivi kama ni mke wa mtu ni hadi awe kakuelewa sana na uwe na akili kubwa au mkwanja mrefu kama anatamaa. Kwanza ukijichanganya anaweza kukuchana live ukaona nyotanyota hasa ukimuingia kizembe ukidhani kavaa hivyo ili umtongoze.
NB; Ni rahisi kumchapa dem mlokole kuliko kumchapa dem wa hivyo
Hiyo ni dhana tu.B4o si kweli..hao wanapigika balaa..kitakachokushibda kuwapiga hao labda tu uwe umeweka dau dogo..hizo ni mali za Umma
Huyu Mzee Busara F..View attachment 2905338
Babu tumsikilize au tumpotezee?
Siyo Bongo! Narudia, siyo Bongo. Bongo ukiona mwanamke amevaa kama picha za jamaa basi ujue yuko sokoni. Cha kuzingatia tu ni anatafuta mteja wa aina gani? Kuna wanaotafuta high class men, wale wenye vipato vikubwa kabisa wawanunulie Ranger Rover na wengine wanatafuta wa kuwapa hata 50,000. Ila majuu vimini havimaanishi yuko sokoni.Wanawake wanaovaa hivyo mara nyingi wanaakili nyingi na exposure kubwa na hawachapiki kizembe kama hawa wa magauni ambao hata bodaboda wanajipigia. Kumchapa dem wa hivi kama ni mke wa mtu ni hadi awe kakuelewa sana na uwe na akili kubwa au mkwanja mrefu kama anatamaa. Kwanza ukijichanganya anaweza kukuchana live ukaona nyotanyota hasa ukimuingia kizembe ukidhani kavaa hivyo ili umtongoze.
NB; Ni rahisi kumchapa dem mlokole kuliko kumchapa dem wa hivyo
Jamani jamani..dress code inamuelezea vizuri mtu kuwa ni wa namna gani...malaya akivaa juba atakosa wateja cos watu watamuona kuwa ni mwanamke mwenye kujihedhim na kujilinda..ila vimini ,hapo tunajua ni mali ipo sokoni ndio maana umeonyeshwa kaupaja ili utamaniWaambie hao. Mimi navaa nguo fupi na huko ofisini kwetu wala hakuna mambo hayo sijui ya kuchapwa hovyo. Kujiheshimu si lazima uvae sijui Juba au dera au gauni refu, iko ndani ya nafsi. Sijawahi hata siku moja kuwa na mahusiano ofisini au kuchepuka.
Ni mawazo yako na nayaheshimu. Navaa vimini ima sijawahi liwa ovyo wala kumsaliti mpenzi wangu. Kuliwa ni choice wala hakuna uhusiano na kuvaa viminiJamani jamani..dress code inamuelezea vizuri mtu kuwa ni wa namna gani...malaya akivaa juba atakosa wateja cos watu watamuona kuwa ni mwanamke mwenye kujihedhim na kujilinda..ila vimini ,hapo tunajua ni mali ipo sokoni ndio maana umeonyeshwa kaupaja ili utamani
Mhhh!Basi ww ni wa kwanza na wa mwishoNi mawazo yako na nayaheshimu. Navaa vimini ima sijawahi liwa ovyo wala kumsaliti mpenzi wangu. Kuliwa ni choice wala hakuna uhusiano na kuvaa vimini
Kupigika kwa mtu ni tabia ya mtu husika,Waambie hao. Mimi navaa nguo fupi na huko ofisini kwetu wala hakuna mambo hayo sijui ya kuchapwa hovyo. Kujiheshimu si lazima uvae sijui Juba au dera au gauni refu, iko ndani ya nafsi. Sijawahi hata siku moja kuwa na mahusiano ofisini au kuchepuka.