Sijui kama nina wivu uliopitiliza lakini wanaume tuliooa unamwachaje mke wako atoke nje na vimini ama suruali / taiti zinazombana?

Wanawake wanaovaa hivyo mara nyingi wanaakili nyingi na exposure kubwa na hawachapiki kizembe kama hawa wa magauni ambao hata bodaboda wanajipigia. Kumchapa dem wa hivi kama ni mke wa mtu ni hadi awe kakuelewa sana na uwe na akili kubwa au mkwanja mrefu kama anatamaa. Kwanza ukijichanganya anaweza kukuchana live ukaona nyotanyota hasa ukimuingia kizembe ukidhani kavaa hivyo ili umtongoze.
NB; Ni rahisi kumchapa dem mlokole kuliko kumchapa dem wa hivyo
Na madem ambao ni rahisi kuchapa ni hawa wanaojifanya kuvaa sijui ndo wanaita kuvaa kiheshima.

Nani anaewatongoza mabinti warembo kama hao?? Wengi wanawaogopa wanaishia kuwananga tu mitandaoni kama hivi.
 
Katika mambo ulomletea,kumlazimisha mavazi kumo? Hapo ujue ulimkuta akivaa hivyo hivyo. Alijistili tu kukupata,na ndo ulishapatikana. Ukiambiwa yule ndege mweusi hafugiki,unakuwa mbishi
 
Wanawake wanaovaa hivyo mara nyingi wanaakili nyingi na exposure kubwa na hawachapiki kizembe kama hawa wa magauni ambao hata bodaboda wanajipigia. Kumchapa dem wa hivi kama ni mke wa mtu ni hadi awe kakuelewa sana na uwe na akili kubwa au mkwanja mrefu kama anatamaa. Kwanza ukijichanganya anaweza kukuchana live ukaona nyotanyota hasa ukimuingia kizembe ukidhani kavaa hivyo ili umtongoze.
NB; Ni rahisi kumchapa dem mlokole kuliko kumchapa dem wa hivyo
Waambie hao. Mimi navaa nguo fupi na huko ofisini kwetu wala hakuna mambo hayo sijui ya kuchapwa hovyo. Kujiheshimu si lazima uvae sijui Juba au dera au gauni refu, iko ndani ya nafsi. Sijawahi hata siku moja kuwa na mahusiano ofisini au kuchepuka.
 
Wanao vaa namna hiyo ni malaya kama malaya wengine tuu, ni vile tuu hawajaenda uwanja wa fisi kupanga foleni, kuna ambao wana danganyana eti anae vaa namna hiyo anaakili na sio rahisi kutumika lakini mtu mwenye akili timamu hawezi kutembea nusu uchi, na huyu wa hivyo kuchapiwa ni rahisi zaidi kwa sababu anatamanisha wengi na hawezi kuwakataa wote wanao mtaka
 
Wanawake wanaovaa hivyo mara nyingi wanaakili nyingi na exposure kubwa na hawachapiki kizembe kama hawa wa magauni ambao hata bodaboda wanajipigia. Kumchapa dem wa hivi kama ni mke wa mtu ni hadi awe kakuelewa sana na uwe na akili kubwa au mkwanja mrefu kama anatamaa. Kwanza ukijichanganya anaweza kukuchana live ukaona nyotanyota hasa ukimuingia kizembe ukidhani kavaa hivyo ili umtongoze.
NB; Ni rahisi kumchapa dem mlokole kuliko kumchapa dem wa hivyo
Siyo Bongo! Narudia, siyo Bongo. Bongo ukiona mwanamke amevaa kama picha za jamaa basi ujue yuko sokoni. Cha kuzingatia tu ni anatafuta mteja wa aina gani? Kuna wanaotafuta high class men, wale wenye vipato vikubwa kabisa wawanunulie Ranger Rover na wengine wanatafuta wa kuwapa hata 50,000. Ila majuu vimini havimaanishi yuko sokoni.
 
Waambie hao. Mimi navaa nguo fupi na huko ofisini kwetu wala hakuna mambo hayo sijui ya kuchapwa hovyo. Kujiheshimu si lazima uvae sijui Juba au dera au gauni refu, iko ndani ya nafsi. Sijawahi hata siku moja kuwa na mahusiano ofisini au kuchepuka.
Jamani jamani..dress code inamuelezea vizuri mtu kuwa ni wa namna gani...malaya akivaa juba atakosa wateja cos watu watamuona kuwa ni mwanamke mwenye kujihedhim na kujilinda..ila vimini ,hapo tunajua ni mali ipo sokoni ndio maana umeonyeshwa kaupaja ili utamani
 
Kumvesha dera,gunia au baibui sio kinga ya kuchapiwa. Kama ni mweupe na ana tako tu we andika maumivu😂
 
Jamani jamani..dress code inamuelezea vizuri mtu kuwa ni wa namna gani...malaya akivaa juba atakosa wateja cos watu watamuona kuwa ni mwanamke mwenye kujihedhim na kujilinda..ila vimini ,hapo tunajua ni mali ipo sokoni ndio maana umeonyeshwa kaupaja ili utamani
Ni mawazo yako na nayaheshimu. Navaa vimini ima sijawahi liwa ovyo wala kumsaliti mpenzi wangu. Kuliwa ni choice wala hakuna uhusiano na kuvaa vimini
 
Mhhh!Basi ww ni wa kwanza na wa mwisho
 
Waambie hao. Mimi navaa nguo fupi na huko ofisini kwetu wala hakuna mambo hayo sijui ya kuchapwa hovyo. Kujiheshimu si lazima uvae sijui Juba au dera au gauni refu, iko ndani ya nafsi. Sijawahi hata siku moja kuwa na mahusiano ofisini au kuchepuka.
Kupigika kwa mtu ni tabia ya mtu husika,

Haijalishi ana vaa. Nini
 
Wanawake wa vaa vimini ni wahovyo sana na wanachapika vizuuri ukiona mwanamke anajistiri nae anachapwa hovyo nae ni sawa tabia na mvaa vimini

Watu tunao jistiri khaswaaa hatuna sifa hizo.
 
Back
Top Bottom