Sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndio hawa

Mswati II

Senior Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
139
Reaction score
374
Wakuu habari za jioni?

Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na mimi halafu nilikutana nae kwenye pub moja hivi ni mwanamke mzuri vibaya mnooo.

Asee mimi mwenyewe sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndo hawa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ mimi siwezi asee alafu mme wake anajiweza sana wana life good sana sana sasa shida itakuwa kitandani.

Kama unajijua unaenda Mbeya leo muda huu kufanya kazi asee pole ndugu yangu huyu ndo mke wako๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 
Nabii suleiman alikuwa na wanawake 700, sio kwamba alioa wengine alikuwa anato-mba tu, kwahiyo na wewe to-mba tu, usiwaze si kataka mwenyewe
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Na aligongewa kichizi. Pia Mudi alikuwa na wanne na aligongewa kama kawa. Mungu wetu kipenzi Yesu mjanja.

hydroxo
 
Duuh..
Huyo mwamba mwenye mke atapata tabu sana. Hapo hakuna mke.
Afadhali usile huyo mke wa mtu dogo
 
Pole nyingi sana kwa mwanaume mwenzangu aliyeamua kufuga kicheche
 
ulikutanaye kweny pub afu mwanamke mwenye mzuri balaa afu apo apo hujui kama utaoa au la siku jaribu kuweka viganja vyako vya mikono kweny moto kama dakika mbili afu ukitoa tu jimwagie asali weka mikono ipigwe na baridi dakika moja afu lamba ile asali nakuakishia kwa ule utamu utakao upata lazima urudi tena kuchoma mikono kweny moto.
 
Sijakupata mkuu mimi sio mrisho mpoto
 
Kwamba huyo mwanamke mmoja mjinga asiyejitambua na kuheshimu ndoa yake ndiyo representative sample yako uliyoitumia kufikia hitimisho lako la jumla kuwa wanawake wa siku hizi ni wa hovyo na kwamba hawafai kuolewa? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
 
Hivi wanaume wa jf mnapiga pisi kali tu? Sijawahi kusoma popote mtu kaandika amepiga pisi mbovu
Siyo pisi kali tu bali njemba za hapa zote zina maisha mazuri zinasukuma Range Rovers na zina ma apartments Masaki na kwingineko. JF siyo ya Watanzania wa kiwango cha chini! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿšฎ
 
Ni huyu uliekutana naye tu mkuu , sio wote wanayo roho hio unayoifikiria..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ