Sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndio hawa

Wakuu habari za jioni? Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na mimi halafu nilikutana nae kwenye pub moja hivi ni mwanamke mzuri vibaya mnooo.

Asee mimi mwenyewe sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndo hawa👇👇 mimi siwezi asee alafu mme wake anajiweza sana wana life good sana sana sasa shida itakuwa kitandani.

Kama unajijua unaenda Mbeya leo muda huu kufanya kazi asee pole ndugu yangu huyu ndo mke wako👇👇👇

View attachment 2978369
Jina lenyewe Mswati halafu unategemea nini? Fisi kashiba.
 
Wakuu habari za jioni? Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na mimi halafu nilikutana nae kwenye pub moja hivi ni mwanamke mzuri vibaya mnooo.

Asee mimi mwenyewe sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndo hawa[emoji116][emoji116] mimi siwezi asee alafu mme wake anajiweza sana wana life good sana sana sasa shida itakuwa kitandani.

Kama unajijua unaenda Mbeya leo muda huu kufanya kazi asee pole ndugu yangu huyu ndo mke wako[emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2978369
Halafu unajiona kidume kweli....kwamba kwako ndo kafika...? Man tulizana mke wa mtu sio jambo la kujivunia ni hatari
 
Ni huyu uliekutana naye tu mkuu , sio wote wanayo roho hio unayoifikiria..
Hivi huwa husomi nyuzi kibao humu jf kuhusu tabia kama hizi zinazofanywa na wanawake.
Wanaume mabwege wanapenda sana kujifariji eti ni huyu tu!
Kila uchao ni habari za watu wakilalamika kuhusu ukosefu wa uaminifu ktk ndoa halqfu wewe unasema ni huyu tu.
 
Humu si mnaangalia chur*mkuu, pambaneni pambaneni mpaka akili iwakae sawa
 
Po
Wakuu habari za jioni? Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na mimi halafu nilikutana nae kwenye pub moja hivi ni mwanamke mzuri vibaya mnooo.

Asee mimi mwenyewe sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndo hawa👇👇 mimi siwezi asee alafu mme wake anajiweza sana wana life good sana sana sasa shida itakuwa kitandani.

Kama unajijua unaenda Mbeya leo muda huu kufanya kazi asee pole ndugu yangu huyu ndo mke wako👇👇👇

Pole saana
 
Kwamba huyo mwanamke mmoja mjinga asiyejitambua na kuheshimu ndoa yake ndiyo representative sample yako uliyoitumia kufikia hitimisho lako la jumla kuwa wanawake wa siku hizi ni wa hovyo na kwamba hawafai kuolewa? 😳😳😳

Dogo huyo demu mbona kakuzidi akili hivi.....hapa mjini ushamba utakumaliza. Ulihukua wanaojiuza ila akataka usimsumbue pia kujilindia heshima akakudanganya ameolewa.
Sikia kijana mimi mke wa mtu huwa sidet nae kizembe lazima file lake liwe mezani kwangu toka alipo zaliwa usifikir ufala ulio nao wewe ndo kila mtu anao
 
Kwamba huyo mwanamke mmoja mjinga asiyejitambua na kuheshimu ndoa yake ndiyo representative sample yako uliyoitumia kufikia hitimisho lako la jumla kuwa wanawake wa siku hizi ni wa hovyo na kwamba hawafai kuolewa? 😳😳😳
Wote wakiweka visa vinavyowakatisha tamaa wasio,humu kutajaa,usidhani mmoja kumuanika mwanamke asiyefaa,ukadhani ni huyo mwanamke tu,ukute mkeo jamaa aliyemla leo,hajaandika humu,kaona uvivu.
 
Back
Top Bottom