Sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndio hawa

Jina lenyewe Mswati halafu unategemea nini? Fisi kashiba.
 
Halafu unajiona kidume kweli....kwamba kwako ndo kafika...? Man tulizana mke wa mtu sio jambo la kujivunia ni hatari
 
Ni huyu uliekutana naye tu mkuu , sio wote wanayo roho hio unayoifikiria..
Hivi huwa husomi nyuzi kibao humu jf kuhusu tabia kama hizi zinazofanywa na wanawake.
Wanaume mabwege wanapenda sana kujifariji eti ni huyu tu!
Kila uchao ni habari za watu wakilalamika kuhusu ukosefu wa uaminifu ktk ndoa halqfu wewe unasema ni huyu tu.
 
Humu si mnaangalia chur*mkuu, pambaneni pambaneni mpaka akili iwakae sawa
 
Hatari sana...
Kwa dunia ya sasa hayo ni mambo ya kawaida sana...


Cc: Mahondaw
 
Po
 
Kwamba huyo mwanamke mmoja mjinga asiyejitambua na kuheshimu ndoa yake ndiyo representative sample yako uliyoitumia kufikia hitimisho lako la jumla kuwa wanawake wa siku hizi ni wa hovyo na kwamba hawafai kuolewa? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

Dogo huyo demu mbona kakuzidi akili hivi.....hapa mjini ushamba utakumaliza. Ulihukua wanaojiuza ila akataka usimsumbue pia kujilindia heshima akakudanganya ameolewa.
Sikia kijana mimi mke wa mtu huwa sidet nae kizembe lazima file lake liwe mezani kwangu toka alipo zaliwa usifikir ufala ulio nao wewe ndo kila mtu anao
 
Huenda hata mama yako alikuzaa kwa mchongo huohuo,
 
Kwamba huyo mwanamke mmoja mjinga asiyejitambua na kuheshimu ndoa yake ndiyo representative sample yako uliyoitumia kufikia hitimisho lako la jumla kuwa wanawake wa siku hizi ni wa hovyo na kwamba hawafai kuolewa? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
Wote wakiweka visa vinavyowakatisha tamaa wasio,humu kutajaa,usidhani mmoja kumuanika mwanamke asiyefaa,ukadhani ni huyo mwanamke tu,ukute mkeo jamaa aliyemla leo,hajaandika humu,kaona uvivu.
 
Siyo pisi kali tu bali njemba za hapa zote zina maisha mazuri zinasukuma Range Rovers na zina ma apartments Masaki na kwingineko. JF siyo ya Watanzania wa kiwango cha chini! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿšฎ
Ukitangaza kazi ya laki tatu mshahara kwa mwezi wanavyojaa sasa inbox sio wale tena wanaopush range
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ