Sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndio hawa

Mkuu,
Technology imekua Sanaa ๐Ÿ˜Š sisi sio milima sisi Ni people tunatakutana..........

Usipende ku expose vitu vyako ovyo ovyo utajuta one day

Sikutishi nakwambia kwa Nia njemaa
 
Inasikitisha sana ukila mke wa mtu na wako ataliwa tu
 
Siyo pisi kali tu bali njemba za hapa zote zina maisha mazuri zinasukuma Range Rovers na zina ma apartments Masaki na kwingineko. JF siyo ya Watanzania wa kiwango cha chini! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿšฎ
Mimi Ni kapuku (makapuku forum) na still nalipia usingizi yaan nipo nyumba za kupanga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mzee mi na kuunga mkono maana ata mimi nimekutana na hizi mi niliacha kazi kwa sababu ya kumchapa mke wa boss wangu.. japo iliuma maana nmekula mara mbili tu nikaharibu kazi... Kiufupi dunia ya kuoa sio hii labda ijayo
 
huingii kwenye ndoa kwa ajili ya mtu,ni kwa ajili ya amri ya Mungu
 
Heeee umeshindwa kabisa kujikaza kiume
 
Kula kisela then vunga, Sasa hapo unawapa pressure wadau wote wanaoenda mbeya kikazi Leo na wameacha madem zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ