TheGreatest Of AllTime
JF-Expert Member
- Mar 14, 2025
- 207
- 679
Coincedence? Or correlation?
430 na zote zina comment au cyo mkuu hahahaChawa wabobezi hao, kila mmoja wao ana ID kama 430
😹😹 hapa ndo naanza kuelewa kwanini lucky dube aliimba one people different color.
🤓daah🙌🏾😄😄 adriz nae akipotea hewani, ile ya mary diana inapotea na yenyewe
Kuna yule jamaa mwenye picha ya demu kwwnyw dp yake anapenda sana mambo ya iran na ccm, 😁 akipotea tu hewani, ya makebo inaibuka,😁
penginepo hata mwanzilishi wa uzi huu ndio anajiulizia mwenyewe kwa id nyingine au hahaahahaKwenye huu uzi kuna mtu mmoja kakomenti kwa ID tofauti tofauti 3.
Naunga mkono hoja yako.Na ya yule ambaye huwa anabadilisha badilisha majina mara yule aliyekuwa mkubwa wa mashoga mombasa, mara ile id nyingine anaomba apelekewe moto. Sasa anajiita yo mwenye dhambi pia nahisi ndo mwenye makebo makubwa.
Ngoja ukute hapatikaniHahaha.........ngoja nimpigie Wakili wangu 😅
Mpaka sasa zimefika 5.penginepo hata mwanzilishi wa uzi huu ndio anajiulizia mwenyewe kwa id nyingine au hahaahaha
😁😁😁 ikipoteaga ile inaibuka ile jamaa wa MAJI MAJI FCNa ya yule ambaye huwa anabadilisha badilisha majina mara yule aliyekuwa mkubwa wa mashoga mombasa, mara ile id nyingine anaomba apelekewe moto. Sasa anajiita yo mwenye dhambi pia nahisi ndo mwenye makebo makubwa.
Kuna malipo mkuu ukiwa nayo nyingii hzo idMpaka sasa zimefika 5.