To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,518
- 38,854
Umesema na nje ya Tanzania?Mimi ninafahamika ndani ya Tanzania na Nje ya Tanzania kwa jina moja tu la Lucas Hebel Mwashambwa ambalo kila Mtanzania ananifahamu
Umesema na nje ya Tanzania?Mimi ninafahamika ndani ya Tanzania na Nje ya Tanzania kwa jina moja tu la Lucas Hebel Mwashambwa ambalo kila Mtanzania ananifahamu
Ngoja aki log out anakuja kama anabeli,
Sasa hivi kwanza yupo kama maji maji FC
secretarybird na Eli Cohen wanamjua vizuri sanaa😁
Mi huwa nawachora tu!Ngoja aki log out anakuja kama anabeli,
Sasa hivi kwanza yupo kama maji maji FC
secretarybird na Eli Cohen wanamjua vizuri sanaa😁
Nitaanguka kwa Presha sasa 🤗Ngoja ukute hapatikani
Nitaanguka kwa Presha sasa 🤗Ngoja ukute hapatikani
kama mama yao alivyowaambia wawe wanaona aibu wakipiga dili 😁 😁Ifike mahala waone aibu😂
Sema unajulikana Mkoa wa Songwe tu bhana nje ya Tanzania wapi wanakufahamu..Mimi ninafahamika ndani ya Tanzania na Nje ya Tanzania kwa jina moja tu la Lucas Hebel Mwashambwa ambalo kila Mtanzania ananifahamu
Hii ya maji majji uko sahihi😁😁Ngoja aki log out anakuja kama anabeli,
Sasa hivi kwanza yupo kama maji maji FC
secretarybird na Eli Cohen wanamjua vizuri sanaa😁
Ni wakavu aiseee!kama mama yao alivyowaambia wawe wanaona aibu wakipiga dili 😁 😁
Kidukulilo aka Bill Lugano mbona hawafananii kabisa na Gudume. Labda Zero IQ na GuDume 😁Watu wanaongoza kwa id nyingi jf na zote hua active
1. Gudume/bill lugano
2. Gentamycine (huyu ni balaa)
View attachment 3668744
Nakonde hapo ukivuka mpaka wa Tunduma..Umesema na nje ya Tanzania?
Wana switch tu bila aibu.Ni wakavu aiseee!
Mimi hadi nilitungiwa kikundi humu cha kuniattack kumbe ni mtu mmoja anacheza kama pele 😁😁Moja ya id yake ipo inacoment humu kama asipokuja kunitukana kwa kutumia hiyo atakuja na ile inaanza na chizi.
Wewe sio mwenyeji jf labda kama unajua stori ya 7800 wote hao ni mtu mmoja
Nipo jukwaani miaka ya binti kuvunja ungo, Enzi Da'Vinci ni mondray. Ile stori ya 7800 sioni uhusiano wowote na Gudume, nikikumbuka aina ya uandishi wa wale viumbe wawili hasa mwanaume kuna baadhi ya ID humu zinafanana nayeMoja ya id yake ipo inacoment humu kama asipokuja kunitukana kwa kutumia hiyo atakuja na ile inaanza na chizi.
Wewe sio mwenyeji jf labda kama unajua stori ya 7800 wote hao ni mtu mmoja
Hakika Hakika 🥴Nakonde hapo ukivuka mpaka wa Tunduma..
Kila Mtanzania? Who are yuu?Mimi ninafahamika ndani ya Tanzania na Nje ya Tanzania kwa jina moja tu la Lucas Hebel Mwashambwa ambalo kila Mtanzania ananifahamu
Mzalendo wa AfrikaKila Mtanzania? Who are yuu?
Mtu aliye timamu lazima atawagundua chap kwa haraka😂Wana switch tu bila aibu.
Kama aibu utaona wewe.
Hapo juu wameitana kama wote.
Wanachekesha kama sio rafiki zako wa JF.Mtu aliye timamu lazima atawagundua chap kwa haraka😂
Siku hizi aibu unaona mtazamaji🤭