Sijui kwa nini ila lucas mwashambwa akikaa kimya , ID ya haszu nayo inapotea🤨

Kuna yule jamaa mwenye picha ya demu kwwnyw dp yake anapenda sana mambo ya iran na ccm, 😁 akipotea tu hewani, ya makebo inaibuka,😁

Na ya yule ambaye huwa anabadilisha badilisha majina mara yule aliyekuwa mkubwa wa mashoga mombasa, mara ile id nyingine anaomba apelekewe moto. Sasa anajiita yo mwenye dhambi pia nahisi ndo mwenye makebo makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…