Sijui kwanini huwa simuamini January Makamba

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Mimi kila anachokisema huyu bwana huwa nakitupa kwenye dastubi[emoji706][emoji706]

Huyu mtu huwa simuamini hata chembe

Je, ni mimi mwenyewe?Huwa ni ngumu sana kumuamini huyu jamaa?

Kuna chapisho moja niliona akisaini mkataba wa gesi wa trilioni 93 nikasema mhhhhh!

Sijui kwanini huwa simuamini January aisee?
 
Afadhali wewe wapo wengine kwenye hii serikali ambao unawaamini!

Maana mie sijui hata nimuamini nani!
 
Makamba hana sifa ya kuwa kiongozi nikupe taarifa hiyo

Kwanza ni selfish, mpigaji, fisadi, na kanjanja wa madili.....

Nikuulize tu toka amekua waziri wa nishati kaleta outputs gani kwenye umeme au wizara yote?

Mnamkuza sana but he is good for nothing.......
He is a statesman!, kiukweli baada ya Tanzania kuongozwa na nyapara, watu wamezoea kuswagwa, anapotokea a statesman, watu wananuona weak, hebu msikilize hapa kwenye smart objectives zake ndio utaelewa
Take it from me, this fellow can make the best president this country has ever had!. The problem with we Tanzanian, kutokana na ule ujinga fulani, naomba nisiutaje, we never pick the best!.

Bahati mbaya sana wengi wetu wana macho ya nje, hivyo wanamchagiza Samia for 2025, sisi wenye jicho la tatu la ndani ndio tunamsaidia Samia kiukweli zaidi kwa kushauri the right thing to do 2025 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, hivyo kama sio HM then ni JM, 2030 ndipo aje TA!.
P
 
Ulichoandika hapa ukitaka kujua ni kitu gani basi jitie dole nusa. Hiyo harufu nchi umeandika hapa. Pumba kiasi kwamba hakuna hata mtu anaweza kupoteza muda kukuelewesha ila kwa taarifa yako January ni moja ya wanasiasa tegemeo kubwa sana kuja kuweka mfumo mpya wa kuindoa nchi katika mkwamo. Keep hating.
 
He is a statesman!, kiukweli baada ya Tanzania kuongozwa na nyapara, watu wamezoea kuswagwa, anapotokea a statesman, watu wananuona weak, hebu msikilize hapa kwenye smart objectives zake ndio utaelewa
Take it from me, this fellow can make the best president this country has ever had!.

Bahati mbaya sana wengi wetu wana macho ya nje, hivyo wanamchagiza Samia for 2025, sisi wenye jicho la tatu la ndani ndio tunamsaidia Samia kiukweli zaidi kwa kushauri the right thing to do 2025 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, hivyo kama sio HM then ni JM, 2030 ndipo aje TA!.
P

Huyu jamaa ni asset. Watajaribu sana kumchafua lakini kama amepangwa kuja kuwa Rais wa Tanzania atakuwa. Mfano hapo huyu jamaa kasema madili, muulize dili lipi? Kajenga uwanja kwao? Kajenga apartments mji mzima huu? Au kama kambale wao alivyomjengea kimada hoteli mwenge.
 
He is a statesman!, kiukweli baada ya Tanzania kuongozwa na nyapara, watu wamezoea kuswagwa, anapotokea a statesman, watu wananuona weak, hebu msikilize hapa kwenye smart objectives zake ndio utaelewa
Take it from me, this fellow can make the best president this country has ever had!. The problem with we Tanzanian, kutokana na ule ujinga fulani, naomba nisiutaje, we never pick the best!.

Bahati mbaya sana wengi wetu wana macho ya nje, hivyo wanamchagiza Samia for 2025, sisi wenye jicho la tatu la ndani ndio tunamsaidia Samia kiukweli zaidi kwa kushauri the right thing to do 2025 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, hivyo kama sio HM then ni JM, 2030 ndipo aje TA!.
P

Makamba hamna kitu. Kama huyo ndiye statesman wa Tanzania, basi nchi yote ni jalala la nzi. Statesman ni mtu anayejali interests za state siyo anayefurahisha watu kwa lugha za kubembeleza kudanganyadanganya. Serikali yoyote ni chombo cha mabavu; fuata sheria au kuwa tayari kuadhibiwa. Huo siyo unyampala bali ndiyo hivyo serikali inavyofanya kazi. Serikali ya kubembeleza na kulishana kwa urefu wa kamba siyo serikali, na kubembeleza siyo ustatesman.
 
Nnachoona bw. Paskali anazeeka vibaya

-Utawala wa jiwe aliwasifia sana kina polepole,bashiru,sabaya,mnyeti, makonda na timu yote ya jiwe.

-utawala huu uko bega kwa bega na msoga team na walamba asali ambao Utawala wa jiwe ulisema ni majizi hawafai
 
He is a statesman!, kiukweli baada ya Tanzania kuongozwa na nyapara, watu wamezoea kuswagwa, anapotokea a statesman, watu wananuona weak, hebu msikilize hapa kwenye smart objectives zake ndio utaelewa
Take it from me, this fellow can make the best president this country has ever had!. The problem with we Tanzanian, kutokana na ule ujinga fulani, naomba nisiutaje, we never pick the best!.

Bahati mbaya sana wengi wetu wana macho ya nje, hivyo wanamchagiza Samia for 2025, sisi wenye jicho la tatu la ndani ndio tunamsaidia Samia kiukweli zaidi kwa kushauri the right thing to do 2025 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, hivyo kama sio HM then ni JM, 2030 ndipo aje TA!.
P

Kweli akili ni nywele kila mtu ana za kwake! Mikamba kabisa ndie statesman??? 😂
 
Issue sio JM aka January.

issue ni mfumo uliomsimika January Makamba kwenye system.
Mfumo umesimika wapumbavu wengi kuliko hata huyo January na mfumo huu umeleta madhara makubwa kwenye Taifa hili kwa kukuza kizazi cha wajinga.

"Kamlete system" sio tu kwenye level za uwaziri nk iko kila mahala kwenye mifumo ya nchi hii kuanzia ngazi za chini mpaka juu.
CCM ndio chanzo cha upumbavu wote huu kwa kuendekeza infuence ya makada kwenye mifumo nyeti hata ile inayoamua mustakabali wa nchi hii..

lets get serious, wote kwapamoja haijalishi uko CCM au CDM au chama chochote, tuache ushabiki wa kisiasa, nchi inahitaji kukombolewa kutoka mikononi mwa wapumbavu wachache wanaojiona wana hati miliki ya Taifa hili..
 
Nnachoona bw. Paskali anazeeka vibaya

-Utawala wa jiwe aliwasifia sana kina polepole,bashiru,sabaya,mnyeti, makonda na timu yote ya jiwe.

-utawala huu uko bega kwa bega na msoga team na walamba asali ambao Utawala wa jiwe ulisema ni majizi hawafai
linakera hili lizeee,yaani umeme sasa hivi umekuwa kirusi alafu lenyewe linakuja kutetea ujinga,alafu huwa linajikuta great thinker kumbe chawa(toady,sycophant) mkubwa
 
He is a statesman!, kiukweli baada ya Tanzania kuongozwa na nyapara, watu wamezoea kuswagwa, anapotokea a statesman, watu wananuona weak, hebu msikilize hapa kwenye smart objectives zake ndio utaelewa
Take it from me, this fellow can make the best president this country has ever had!. The problem with we Tanzanian, kutokana na ule ujinga fulani, naomba nisiutaje, we never pick the best!.

Bahati mbaya sana wengi wetu wana macho ya nje, hivyo wanamchagiza Samia for 2025, sisi wenye jicho la tatu la ndani ndio tunamsaidia Samia kiukweli zaidi kwa kushauri the right thing to do 2025 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, hivyo kama sio HM then ni JM, 2030 ndipo aje TA!.
P

Mkuu

Kama imepangwa hivyo na state, Bas SAWA!

LAKINI

Sizioni dalili hata KIDOGO MATOKEO ya NEC yametoa picha Fulani,JAPO siamini kama ni MATOKEO Halali coz kura ni Haki ya KILA mtu,lakini kutangazwa mshindi wa kura HIZO ni matakwa ya wa wenye Mamlaka!!

Unayemtetea ni predictable ya kile anachofanya Sasa,ni kama anaongoza wizara kufuata maelekezo fulani kutoka kea mtu fulani ambaye amemhakikishia kuwa yeye ndie!hilo ni kosa KUBWA!

Bora afanye bkwa Akili yake sio kwa kuongozwa na Mtu mwingine!

Mawazo HURU Haya!
 
Back
Top Bottom