Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
He is a statesman!, kiukweli baada ya Tanzania kuongozwa na nyapara, watu wamezoea kuswagwa, anapotokea a statesman, watu wananuona weak, hebu msikilize hapa kwenye smart objectives zake ndio utaelewa
Take it from me, this fellow can make the best president this country has ever had!. The problem with we Tanzanian, kutokana na ule ujinga fulani, naomba nisiutaje, we never pick the best!.
Bahati mbaya sana wengi wetu wana macho ya nje, hivyo wanamchagiza Samia for 2025, sisi wenye jicho la tatu la ndani ndio tunamsaidia Samia kiukweli zaidi kwa kushauri the right thing to do 2025 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, hivyo kama sio HM then ni JM, 2030 ndipo aje TA!.
P
Neno nyapara unamanisha nani?