Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Mwalimu wa tuisheni , kuniita mimi chawa ni kunitukana!.Ndugu paskali ni chawa asee [emoji1783][emoji1787][emoji1787]
Please usinitukane mimi chawa, mimi sio chawa!.
Nimejitahidi sana kuelimisha watu humu tofauti ya wasifiaji wa uchawa na wasifiaji bonafide genuine
Somo hili nililianza toka enzi za JPM Kati ya wakosoaji wa Rais Magufuli na Serikali yake, na wasifiaji nani wanamsaidia zaidi? Ijue nafasi ya JamiiForums
Mama alipoingia akaja na mkwala wa tukimkuna vizuri atatukuna ila tukimpara atatuparura Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi Rais Samia?. Tunakuomba Mama, Usiwaparure Waparaji!.
Mimi sio chawa Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P