Sijui kwanini huwa simuamini January Makamba

Neno nyapara unamanisha nani?
 
Huyo jamaa usipomsifia ukamkosoa kidogo tuu anakupiga block! Alipokufa magufuli haku tweet kwa siku kadhaa, the day ana tweet akasema alikuwa na msiba kwao kachelewa ku tweet habari ya msiba wa magufuli mi nikaandika "mmmhh" ya kuguna hivyo tuu akanipa block! So habari ya kusema that guy is down to earth Mimi nakukatalia! He is not, siyo kwa sababu ya Kuni block bali unaona tuu majibu yake!
 
Kwa majibu haya na kwenye huu udhia, nadhani Rupia ishapenyezwa....

Mtu mwenye consious yake logically hawezi kutetea Kiongozi aliyepo kwenye huduma ya kutuletea Mwanga wakati tupo Gizani
 
Voice from within: Pascal Mayalla anaweza kuwa amepewa kitu kidogo kumtetea Makamba, ama kuna namna anafaidika na huyu mtu.
 
Voice from within: Pascal Mayalla anaweza kuwa amepewa kitu kidogo kumtetea Makamba, ama kuna namna anafaidika na huyu mtu.
Mimi ni mwandishi wakujitegemea kwa kujitolea, naandika kwa mapenzi tuu na najitolea bure. Kwa sasa mimi pia ni wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, natoa huduma za msaada wa kisheria bure.
P
 
Jamaa ni bonge la genius....ni miongoni mwa wasomi wachache Tanzania wenye vipawa vya hali ya juu..
Sasa huu U-genius wake kwanini asionyeshe sasa hivi kwenye hii Wizara aliyopewa ? AU U-genius wake unashamiri / utashamiri atakapokuwa Rais...

Heri Taahira mwenye matokeo positive kuliko genius mwenye matokeo negative...
 
Pole sana. Enzi hizo zilishapita. Kama unataka serikali ya hivyo hamia Rwanda.
 
Uwezo wa kuongoza haupimwi kwa kusikiliza maeno wala hotuba ya mtu.

Tujiulize amekuwepo serikalini tangu lini, na nini amefanya japo kwa nafasi yake hiyo.
 
Neno nyapara unamanisha nani?
Humu ndani tupo watu wa aina zote, tuna watoto wachanga humu, watoto, vijana, wakubwa, watu wazima na wazee, hivyo sisi wazee kuna vitu vya wazee tukizungumza tunaelewa hatuhitaji kuulizana!. Hivyo unapouliza unajulikana wewe ni mtoto, hivyo hiyo post ni post ya kikubwa kuliko umri wako, kwa sasa jipitie tuu, huku ukiendelea kukua, ukikua mkubwa utajikuta umemfahanu bila kumuuliza yeyote!.
P
 
Neno nyapara unamanisha nani?
Humu ndani tupo watu wa aina zote, tuna watoto wachanga humu, watoto, vijana, wakubwa, watu wazima na wazee, hivyo sisi wazee kuna vitu vya wazee tukizungumza tunaelewa hatuhitaji kuulizana!. Hivyo unapouliza unajulikana wewe ni mtoto, hivyo hiyo post ni post ya kikubwa kuliko umri wako, kwa sasa jipitie tuu, huku ukiendelea kukua, ukikua mkubwa utajikuta umemfahanu bila kumuuliza yeyote!.
P
 
Kwa hiyo Ndugu Paskal na ww unahamini katika nepotism.Kwamba hii nchi itaendeshwa na watoto wa watu we aliowahi kuwa viongozi.Je Nyerere angeweka watoto wake tungekuwa na mwelekeo?Kwann Watanzania Tena wasomi Kama Paskal bado mna fikira potofu za madaraka kurisishwa kwa baadhi ya watu?Na kibaya zaidi ni kuwa viongoz hao waliopita ambao mnawapigia chapuo watoto wao ,hawakuwa na mafanikio yeyote .Huku nje kuna Watanzania wengi wenye talent ,kubwa tunawaacha au kuwazuia kuingia kwenye system za Tanzania.Kweli Tanzania itafika ?
 
Jibu swali si viroja mkuu
 
Huyu Bimkubwa mzenji ana tabu sana yaani vijana na wazee wajinga kawajaza kwenye cabinet yake , mwenyewe anawaamini kweli kumbe yu awapaisha yeye mwenyewe nao wakipambana kutengeneza mazingira ya kukua kisiasa ili wachukue kiti chake!! Yaani sijui urais una nini yaani kama huyu msambaa na yule bwana tozo rais wa mawe wakifa bila kuwa rais hawataenda kuzimu watabaki duniani wakizunguka kama mandondocha!

Kwa sasa upigaji umerudi kila ofisi , ina maana Bimkubwa is weak? kila wizara imejaa uozo tu sasa si kama enzi za Magu watu walichapa kazi!!

Bimkubwa amka sasa wanakufelisha hao makusudi wanataka kiti chako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…