Sijui kwanini huwa simuamini January Makamba

Ndugu paskali ni chawa asee [emoji1783][emoji1787][emoji1787]
Mkuu Mwalimu wa tuisheni , kuniita mimi chawa ni kunitukana!.
Please usinitukane mimi chawa, mimi sio chawa!.
Nimejitahidi sana kuelimisha watu humu tofauti ya wasifiaji wa uchawa na wasifiaji bonafide genuine
Somo hili nililianza toka enzi za JPM Kati ya wakosoaji wa Rais Magufuli na Serikali yake, na wasifiaji nani wanamsaidia zaidi? Ijue nafasi ya JamiiForums

Mama alipoingia akaja na mkwala wa tukimkuna vizuri atatukuna ila tukimpara atatuparura Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi Rais Samia?. Tunakuomba Mama, Usiwaparure Waparaji!.

Mimi sio chawa Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
 
Kwa sababu una chuki zako binafsi
 
Hata mimi ni hivyohivyo aisee. Huyu mtu simuamini kila anachofanya.
 
Ni rahisi Kwangu kumuamini Mwizi kuliko Mwanga / Mchawi katika Maisha yangu.
 
Nimeelewa mkuu, nisamehe kwa hilo tusonge mbele
 
Ni rahisi Kwangu kumuamini Mwizi kuliko Mwanga / Mchawi katika Maisha yangu.
Hujakosea anatoka chini, wale huruma, Imani hawakujaaliwa.

Yuko radhi kufanya lolote kumridhisha mkuu wao Kutoka deep down.

Yana mwisho lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…