Sijui kwanini ipo hivi

Sijui kwanini ipo hivi

Mtu akiwa kwenye mipango ya ndoa
Au ukiwa kwenye ndoa
Ndo sasa unaanza kuona wanawake wazuri
Na kupendwa na wale ambao walikukataa kipindi cha nyuma hapo

Eee Mungu naomba unisaidie hili ni jaribu kubwa
Huwa inakuwa hivyo kwa sababu ndivyo ilivyo
 
Haya mambo acha kabisa,yaan unashangaa unaanza kupendwa na kila mwanamke,ukisema uende hospital unashangaa manesi na madaktar wa kike wanakushobokea,madukan wahudum wa kike hadi wanakupunguzia bei,haya kwenye ofisi za umma huko halimashauri unashangaa mpaka yale mashangaz yenye maisha yao nayo yananasa,unabak tu kusema hiiiiiiiiiiiii bhagosha!
 
Mtu akiwa kwenye mipango ya ndoa
Au ukiwa kwenye ndoa
Ndo sasa unaanza kuona wanawake wazuri
Na kupendwa na wale ambao walikukataa kipindi cha nyuma hapo

Eee Mungu naomba unisaidie hili ni jaribu kubwa
Ndoa ni taasisi inayowindwa na adui kabla na baada. Hizo ni miongoni mwa mbinu zake!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Mtu akiwa kwenye mipango ya ndoa
Au ukiwa kwenye ndoa
Ndo sasa unaanza kuona wanawake wazuri
Na kupendwa na wale ambao walikukataa kipindi cha nyuma hapo

Eee Mungu naomba unisaidie hili ni jaribu kubwa
Hili nilidhan ni Mimi pekee ndiyo linaniface. Mimi kuona wanawake wazuri siyo Sana ila nimekuwa nasumbuliwa Sana na wanawake niliowahi kudate nao ama waliowahi kunikataa.[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hata mimi nikipata demu anaenipenda tu.... Napata influx ya wachumba shobo nazi mobu...
Lakini tukibwagana na nikiwa singo... Mmmh!!! Intensive scarcity.... Yani hata wale utopolo wananiona mimi njenje dah!
 
Hata utopolo wanakuona ngada 😅
 
Mtu akiwa kwenye mipango ya ndoa
Au ukiwa kwenye ndoa
Ndo sasa unaanza kuona wanawake wazuri
Na kupendwa na wale ambao walikukataa kipindi cha nyuma hapo

Eee Mungu naomba unisaidie hili ni jaribu kubwa
@kwisha kabisa
 
Back
Top Bottom