Sijui kwanini nawapenda wanawake wanaofanana hivi ni warembo sana

Sijui kwanini nawapenda wanawake wanaofanana hivi ni warembo sana

Ndiyo, SA wapo warembo.

Lakini ikija kwa Venezuela, Colombia, na Dominican Republic, SA hatii mguu!
Hatari sana hao totoz za kiColombia, venezuela..utasikia mtoto anasema "Gracias"
Zile totoz ni kama chotara sijui za mchanganyiko upi, uafrican zipo, uzunguni zip, hatari sana
 
Hatari sana hao totoz za kiColombia, venezuela..utasikia mtoto anasema "Gracias"
Zile totoz ni kama chotara sijui za mchanganyiko upi, uafrican zipo, uzunguni zip, hatari sana
Naam!

Wengi wao wamechanganya damu nyingi.

Wana Uafrika, Uzungu, Uhindi Wekundu, n.k., ndo maana wako racially ambiguous ila ni wazuri!

Wanavyoongea sasa….unaweza ukajikuta unadondoka kimapenzi bila kupenda.

Kihispaniola ni lugha ya kimahaba.
 
1710108329770.png
 
Back
Top Bottom