Sijui kwanini nimeumia hivi

Kama mume aliezaa nae alikua hapokei simu...thats should be your warning sign...wala hajawa single mother bahati mbaya...huyo would be broke forever....
Anaishi fake life!
Hayo nimeyapata saizi baada ya kusoma comments zenu wakuu.. Mungu tu amsaidie kwakweli
 
AmenπŸ™πŸ™.. Nitafanya hivyo nikipata nafasi, Barikiwa sana mkuu
 
Jumla unetumia kama laki 4 hivi.. ambayo ungekaa na familia yako hapo mle KUKU kila siku mngekula KUKU kwa takribani miez miwili.. kila siku ni KUKU tu.

Ah.. ktk swala la Fadhila... huwa sitegemei saana maana yashanikuta, na nikajifunza kuwa natoa hichi ki2 ili kisaidie tu na wala sihitaji any kind of feedback.

And, kizuri zaidi huwa naomba nikutane na watu kama huyo Dada hapo.. huwa ananirahisishia sana endapo baadae akirudi niweze kumchinjia baharini bila HURUMA yoyote ile... tofauti na yule uliyemsaidia na akaonesha positive feedback ya msaada wako, akirudi utapigana tena kumsaidia.. ila hawa wanaojitoa akili ndio wazuri.. akijikausha kama hivyo na ww unamsubiri tu aingie tena kwenye Mfumo.
 
Sometimes kushukuru kunamfanya aliyekusaidia ajiskie vizuri.. Ila nimejifunza kitu japo in a hard way
 
Ndo maana nasema bado hamjanielewa.

Mungu ndo anaweza saidia kila mtu, sio binadam mwenzake.

Huyo mtoto sio responsibility yake, ni responsibility ya mzazi ambae ni rafiki tu kwake. Kwa logic yako hapo juu basi aende hospital akasaidie wagonjwa wooote ambao wanaundugu na rafiki zake sasa

Bado hujanielewa. Narudia tena, mwenye uwezo wa kusaidia kila mtu ni Mungu, sio binadamu. Saidia unapoweza ukishindwa acha, wala sio dhambi, ni common sense, but common sense is not aways common
 
Acha kulia lia tafuta hela, hivyo vijisenti ulivyotoa ndo unataka kumtoa navyo mtu roho, ungekuwa mwanaume halafu utoe hela, na papuchi usipewe, si ungeua Leejay49
Shida yako ni umri wako...hajajuyia hela yake hata kidogo..anachoumia ni kuhusu appreciation...kitu ambacho ni hoja kabisa inayoeleweka...tofauti na ww ambae unafikiria kuhusu papuchi et al....
Stupid tyranny....!
 
Mkuu mimi binafsi nimekuelewa, usitumie nguvu kubwa sana usije ukaenda oposite.. Barikiwa sanaπŸ™πŸ™
 
Acha kulia lia tafuta hela, hivyo vijisenti ulivyotoa ndo unataka kumtoa navyo mtu roho, ungekuwa mwanaume halafu utoe hela, na papuchi usipewe, si ungeua Leejay49
Nakuombea ubarikiwe wewe na upeo wako wa kufikiri, Sema Amen
 
Shida yako ni umri wako...hajajuyia hela yake hata kidogo..anachoumia ni kuhusu appreciation...kitu ambacho ni hoja kabisa inayoeleweka...tofauti na ww ambae unafikiria kuhusu papuchi et al....
Stupid tyranny....!
Ungeachana nae tu mkuu, ndio maana sikujisumbua kumjibu toka comment yake ya kwanza
 
Mimi nilijifunza kutokuwa na matarajio haswa pale ninapotoa "msaada'". Matarajio ndio huwa yanatuumiza sana.
 
Pipo hazina maana hata usisumbuke nazo
 
Kuhurumia inatoka ndani ya mtu , apo naona tumfundishe namna ya kukabiliana na reaction za watu ili kujifunza namna ya kutoumizwa na maamuzi ya watu wengne juu yake.
Ukieza kuhandle hizo reaction automatically na huruma inapungua tukio la huyo mate wake limempa introduction tu ya jinsi binadamu walivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…