Sijui kwanini nimeumia hivi

Kabla ya kwenda nilimpigia karibu mara5 nzima na nilianzia kwenda nyumbani ili nijue kama waliruhusiwa au laah, sikuwakuta ndio nikaenda na hospitali nako sikuwakuta
Mpotezee Tu,ningekua Mimi pia ningekua.Nisinheumia kwa sababau kaweka status walomsaidia,ningeumia zaidi kwa kutoka hosp.kimya kimya Bila kunitaarifu.Binadamu hatulingani ila ulivoliweka hapa umepata relief.
 
kwanza urafiki na mtoto wa kike unaanzia wapi? kisa kusoma nae au??? eti una uchungu!!!! kunywa siki utaisha.....mwanamke hasaidiwi ANAPEWA..... ukiweza kusababisha na wewe AKAKUPA..... deal closed.
 
Kwakweli, ila nimejifunza kwa namna ambayo sikuitarajia
 
Mkuu maana yake sitakiwi hata kujua wanaendeleaje yeye na mtoto, maana ndio hoja yangu ilipo hapo.. sihitaji anilipe chochote mkuu ni vile ameniignore usingejiskia vizuri hata ungekua ni wewe..
Anyways thanks
 
Pole sana
Kwani ulimsaidia Ili akulipe wema?au atoe shukrani?
Wema wako Mungu ndo anajua na atakulipa kupitia Kwa wengine ila binadamu Huwa hatuna shukrani Wala hatulipi jema Kwa jema
nadhani hujanielewa kipenzi,Nimemsaidia with an open heart kabisa sihitaji anilipe chochote…maana yake sikutakiwa kujua hata mtoto anaendeleaje seriously??.. Just imagine mgonjwa ambaye unamshughulikia gafla huna taarifa yake yoyote unapiga simu hazipokelewi unaenda hadi hospitali hawapo, then unakuja kuona status kama hizo, hata ungekua wewe ungejiskiaje??
 
Lakini pia wengi wanasema usiumie,mimi nasema umia..kwenye maumivu ndo kwenye kujifunza. Umia sana, kama vipi lia kabisa, then ukishamaliza jifunze. Yameshanitokea sana haya maniaje so sishangai. Ukishapiga hatua anza kuwa na boundaries. Haya masuala ya mashosti hasa wa bongo ni unafique grade A. We are very selfish creatures amini kwamba. Huyo shoga ako kakusanua mapema tu maybe kingekukuta kitu kikubwa huko mbelen. Sasa ni muda wa kufanya yako, this might be a wake up call....Shalom
 
Mpotezee Tu,ningekua Mimi pia ningekua.Nisinheumia kwa sababau kaweka status walomsaidia,ningeumia zaidi kwa kutoka hosp.kimya kimya Bila kunitaarifu.Binadamu hatulingani ila ulivoliweka hapa umepata relief.
Kwakweli angeweka hizo status nikiwa najua kinachoendelea wala hata nisingeumia mkuu,, Nilijiona amenidharau kwasababu hashiki simu zangu na yupo online.. Bora hata angeniambia hata kwa meseji kua washatoka nisingesumbuka hata kwenda tena hospitali
 
Mkuu maana yake sitakiwi hata kujua wanaendeleaje yeye na mtoto, maana ndio hoja yangu ilipo hapo.. sihitaji anilipe chochote mkuu ni vile ameniignore usingejiskia vizuri hata ungekua ni wewe..
Anyways thanks
Exactly, hutakiwi kujua wanaendeleaje kama umefanya kuwatafuta na hawajaamua kukujulisha. Ndio nimekuachia point hapo awali, kuwa kama mazingira hayaendelei kukupa favour kuendelea na suala hilo bhas kazi yako kwenye hilo imekwisha.
 
Kwakweli nimejifunza kitu kikubwa sana, japo kwa namna ambayo sikuitarajia
 
Sawa
Exactly, hutakiwi kujua wanaendeleaje kama umefanya kuwatafuta na hawajaamua kukujulisha. Ndio nimekuachia point hapo awali, kuwa kama mazingira hayaendelei kukupa favour kuendelea na suala hilo bhas kazi yako kwenye hilo imekwisha.
 
Nimekuelewa na mm nimemaanisha ukifanyia mtu wema ni kama sadaka binadamu hatuna shukrani kabisa na ukiwaza alivokutendea utazidi kujiumiza samehe tu
Shida huwaga zinarudi kipindi ambacho atakuwa kashasahau
 
Kwakweli marafiki sio wa kuwategemea kabisa mm nilimkopea pesa kwenye kikundi kipind babaake mgonjwa laki 5 mbona nililipa mwenyew hakunilipa,mwaka sasa na Wala hakushtuka siku kajisahau ananiambia nilichukia mkopo bank nikafanyia hiki na hiki alaf mm sijalipwa 😀😀 nilitamani kulia lkn ndio ubinadamu kwenye maumivu Kuna somo pia
 
Nimeumia sana mkuu, ameshindwa kunishukuru basi hata angenipigia Simu anijulishe kama wanaendelea vizuri.. Nimeumia haki ya Mungu tena🥺
Utalipwa kwa mlango mwingine mkuu hio ni akiba umeweka kwa Mwenyenzi Mungu usijali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…