Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na hii lakini hapana aisee, kwa stori anayotupa dada ni dhahiri hakumsaidia mtu sahihi. Nimevaa uhusika wakeSiku zote ishi kwa kusaidia bila kutegemea malipo yeyote. Iwe ya shukrani ama chochote.
Kwa sababu hata shukrani isingekuongezea chochote.
😋😋😋. Dahh kuna la kujifunza hapa 🤝🤝. Ingawa moyo unabeba mambo mengi.. Hili nalo niandiko kubwa.Siku zote mtu "masikini" usimsaidie masikini, acha masikin asaidiwe na tajiri...
Huku mtaani wanakwambia, gari bovu haliwezi kulivuta gari jingine bovu...
Hili ndilo la kujifunza.
NB: Usiielewe vibaya hiyo masikini niliyoiwekea " "...
Punguzeni kujifanya miungu watu.Habari za asubuhi wanajf
Iko hivi... Nina rafiki yangu ana mtoto( naweza nikasema ni single mom) ila isieleweke vibaya, nilisomaga nae olevel huko ila nikama bahati tu tumejikuta tunaishi tena mtaa mmoja.
Ijumaa jioni wakati natoka tu ofisini alinipigia Simu akaniambia anashida kama naweza nipitie nyumbani kwao nikamuone, kwakua nilikua sina ratiba nyingine nikasema isiwe tabu kabla sijafika nyumbani nikapitia...
Nilimkuta yuko good ila mwanae alikua anaumwa sana ile mtoto kazidiwa na akaniambia ameshindwa kwenda hospitali hana ela na almost kila aliyempigia simu wamemuahid tu tangu asubuhi na hakuna aliuemtumia mpaka mda huo sa1 jioni inaelekea saa2..
Kiukweli sikua na hela and i was totally broke,, yaani wiki ile iliyoisha mwenyewe nimeishi tu kwasababu nina wazazi maana nilikua nina mambo mengi yananihitaji hela kiasi kwamba sikua nimebakiwa na hata Mia mbovu.... Lakini nikasema kwenye suala la kuokoa maisha ya mtoto isiwe kesi nikamwambia ngoja nirudi kwanza nyumbani, nikamsimulia mama tukaongea na dada yangu wakasema tu hapa kwa harakaharaka hatuna namna tumdanganye tu mzee kitu chochote jioni hii atupe hela.. kweli mzee bila hiyana tukamshawishi akanipa 150k nikamfata kwao tukaenda hospitali usiku uleule...
Mtoto akapewa huduma ya kwanza na baadhi ya vipimo wakamlaza ili asubuhi aendelee na matibabu mengine( mda wote huo anawapigia ndugu zake wakiwemo na baba wa mtoto hata simu hawampokelei wengine), asubuhi yake niliomba tu ruhusa kazini nikawaambia nitachelewa ili nione mtoto atakua anaendeleaje....
Case ya mtoto ikawa kubwa wakasema tuende nae hospitali nyingine kubwa ( Peramiho nadhani watu wa songea wanaijua), kuna vipimo alivyoambiwa wampime vilikua vinahitaji hela almost kama laki2 tena nikamwambia mama akanitumia tukafanikisha.. Kwasababu kazini nilikua wanapigapiga sana simu na nikaona wanaendelea vizuri na mama yake alikua ashafika nikamwambia naenda ofisini incase kimetokea chochote utatuambia nikampa na namba ya mama kama mimi nisipopokea ampigie,, nikaondoka. The bad thing is nilikua busy busy sana hadi siku ikaisha sikuwatafuta tena..
Kinachoniumiza ni kwamba, jana mchana nilimpigia simu hakupokea nikaenda kwao sikukuta mtu, nikaenda hadi peramiho tena kulivyo mbali nikaambiwa wameruhusiwa na hakunipa taarifa.... Kuanzia jioni nimeingia WhatsApp naona ameweka status nyingi nyingi kufungua nikawa naona amescreenshot miamala yote ya watu waliokua wanamtuma hela na kuwapa credits Mungu awabariki sana kwa kuokoa maisha ya mwanae maana alikua kwenye hali mbaya sana na nini nini.. Screenshot kama kumi hivi na kitu na amewataja na majina kabisa...
Cha ajabu hiyo miamala hakuna hata wa mtu mmoja uliofikia hata 30k, wote ni hizo hizo tu efu10 ef5 ef7, kawaandikia macaption mazito mazito.. Nimebaki najiuliza mbona alikua ananiambia hawapokei simu, na hela inaonekana walimtumia sikuileile ambayo aliniambja na mimi niende kwake kumuona,,.. Mimi ambayo nilikua nae kuanzia siku ile hadi usiku nikaacha na kwenda kazini na tumeclear bills zote hata asante hajaniambia na wala taarifa kama wameruhusiwa hajanipa. Nimesubiri jana yote hadi leo saizi hajanipigia hata simu, Kina mama wananiuliza wanaendeaje nawaambia tu wanaendelea vizuri huku roho inauma..
Nimetenda wema nimeenda zangu wakuu, lakini bado roho inaniuma aisee😥😥
Pole sana sana ndio maisha punguza huruma kwa watu ambao hauko karibu nao kwa kiasi cha kujimalizaHabari za asubuhi wanajf

Mbona umeenda opPunguzeni kujifanya miungu watu.
Ww umeombwa hela huna unaanza kuomba na ww.
Ww sio Mungu, kama umeshindwa kumsaidia Mungu wake atamsaidia kupitia wengine, ww sema sina endelea na maisha yako.
Siwezi kukulaumu sana kwa sababu ww ni mwanamke, labda uliingiwa na roho ya huruma,. Ila ndo upate taste ya sisi tunavyojisikua tukihudumia na tunda likamegwa na mwingine, ww hapo umenyimwa credits tu umeumia hvo, hahahahaaa
Anyway pole. Jifunze kutokujiona mungu mtu, saidia unapoweza na kwa uwezo wako, ukiona unaingia hadi kukopa kisa kusaidia mtu basi fikiri mara 10 sabab inawezekana ukawa unafanya mistake kubwa sana
Kwakweli nimekuelewa mkuuSiku zote mtu "masikini" usimsaidie masikini, acha masikini asaidiwe na tajiri...
Huku mtaani wanakwambia, gari bovu haliwezi kulivuta gari jingine bovu...
Hili ndilo la kujifunza.
NB: Usiielewe vibaya hiyo masikini niliyoiwekea " "...
Asante kwa ushauri mkuu🙏Pole sana,binadamu ndivyo tulivyo na kheri umetenda wema ila hayo maumivu ni kuwa hujapata "ahsante ya mchango wako kwake"
Jitahidi kusahau ila haitokuwa rahisi,siku atakayokutafuta wabongo wanasema "MCHANE UKWELI"
Hakikisha unaongea kweli kweli hadi mishipa ya shingo ukusimame maana si dhambi kumfunza mtu kutoa ahsante ikiwa umetoa kwa moyo mweupe na maumivu yanakuja sababu ya dharau kutotambua mchango wako.
Na mimi nasema "MCHANE" hata ukikutana naye mtaani/akikutafuta.
Hope you have a good one....
Ww ndo hujaelewa.Mbona umeenda op
Asante mkuu, nitajirekebishaPunguzeni kujifanya miungu watu.
Ww umeombwa hela huna unaanza kuomba na ww.
Ww sio Mungu, kama umeshindwa kumsaidia Mungu wake atamsaidia kupitia wengine, ww sema sina endelea na maisha yako.
Siwezi kukulaumu sana kwa sababu ww ni mwanamke, labda uliingiwa na roho ya huruma,. Ila ndo upate taste ya sisi tunavyojisikua tukihudumia na tunda likamegwa na mwingine, ww hapo umenyimwa credits tu umeumia hvo, hahahahaaa
Anyway pole. Jifunze kutokujiona mungu mtu, saidia unapoweza na kwa uwezo wako, ukiona unaingia hadi kukopa kisa kusaidia mtu basi fikiri mara 10 sabab inawezekana ukawa unafanya mistake kubwa sana
Siwezi kukulaumu sana kwa sababu ww ni mwanamke, labda uliingiwa na roho ya huruma,. Ila ndo upate taste ya sisi tunavyojisikua tukihudumia na tunda likamegwa na mwingine, ww hapo umenyimwa credits tu umeumia hvo, hahahahaaa
Asante, walau nimeanza kujiskia vizuri nilivyoandika hapaWala kisikuumize Leejay49
Hesabu ni sadaka yako kwa Bwana umetoa...
Kuna watu tunawatendea wema haturudishiwi wema kutoka kwao..Tunalipwa na watu wengine kabisa..Ambao hatujawafanyia chochote...
Wewe kunguta Mavumbi miguuni songa..Utalipwa mbele ya Safari..Kama si wewe Watoto wako watakuja kuishi kwenye huo WEMA....
Acha kuhangaika na wajinga mkuu, zaidi utajikuta unajikosea na kuumiza moyo wako.Hapatikani kawaida, ila WhatsApp yuko online naogopa kumtext
Tatizo linaanzia hapa single mazaana mtoto( naweza nikasema ni single mom)