ryan riz
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 448
- 729
Yaani ukiangalia kiu ya wananchi ni kuona kuanzia mwenyekiti,Diwani,mbunge akimpigania haki yake ya kiuchumi na kijamii kwa uwazi kabsaa hata ikitokea kiongozi huyo atashindwa fanikiwa suala hilo,mwananchi anayepiganiwa ataendelea kumpenda kiongozi huyo maana juhudi na jitihada zake ameziona
Leo hii Ccm ikiamua wawakilishi wa kuanzia kata mpaka majimbo waanze kushughulika na utendaji mbovu kwenye mataasisi mbalimbali ya kiserikali na kibinafsi bila kuleta uchama,kupigania haki za kiuchumi kwa wananchi wake..
Wawakilishi hao wapigwe marufuku kusifia sifia hovyo viongozi au kujionesha kujibembeleza kwa viongozi wao wa juu kutaleta mabadiliko makubwa mno..
Sababu itapelekea CCM kujikomboa toka kwenye Dola...wananchi watawapenda viongozi wao na kuwang'ang'ania kwa wivu mkubwa sana,na viongozi hao watafanya kazi kwa raha sana...
Mfano mdogo tu wachukulie mfano wa Baba levo,sio kwamba anaweza timiza hata 60% ya aliyo ahidi lakin wananchi wake watamuelewa...angalia yule mmama sigrada ukifanya tafiti video zake ndizo zinafuatiliwa na wananchi kuliko hata baadhi ya viongozi wa juu wale top 3..
Hii ina maana si kila jambo linahitaji pesa...Pengine rasilimali watu wenye kupigania matakwa ya wananchi...
Wapeni uhuru wa wawakilishi hawa mtaona faida kubwa sana mbeleni...Hii inaweza kabsaa hata kuua nguvu ya upinzani....maana wananchi wataona walionao wanatosha na automatic itakirejesha chama kwenye kilele chake...
NB: uchawa unakiua chama,wavivu,wazandiki,mafisadi hujivika shuka la UCHAWA wasionekana .
Uchawa unachochea hasira kali sana kwa wananchi vile wanavyopinga mambo yanayotetewa na machawa..
NB 2: hivi umuone mbunge anapigania jimbo lake kwa kueleza changamoto na waliosabisha hizo changamoto,na hatua alizochukua na kutaka wakina nani wanatakiwa kuwajibika utamchukia kweli?
Tujiangalie huu muda si kila kitu kusingizia vyama vya upinzani na kulea uzembe na uvivu..Tuanze kujisafisha