Sijui leo watatambaje watu hawa wawili

Sijui leo watatambaje watu hawa wawili

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
398
Reaction score
469
Hapo chini kwenye picha hiyo, kushoto ni Thobias Kifaru ambaye ni msemaji/mhamasishaji wa timu ya mpira wa miguu ya Mtibwa Sugar ya huko Morogoro.

Kulia ni msemaji wa timu ya mpira wa miguu ya Ruvu jkt

Najiuliza tu,kutokana na ushindi ambao timu zao umeipata leo dhidi ya Azam na Simba mtawalia, tutakerwa sana.

Naomba tujiandae kukerwa...


20201026_184152.jpg
 
Ni Mungu tu atusaidie sisi wana Msimbazi na kero za wanauto,kauli ya"kupapaswa"inanikera sana,hasa Simba inapofungwa alafu unasikia eti leo Simba"imepapaswa"
 
Ni Mungu tu atusaidie sisi wana Msimbazi na kero za wanauto,kauli ya"kupapaswa"inanikera sana,hasa Simba inapofungwa alafu unasikia eti leo Simba"imepapaswa"

Kwahiyo umezoea kupapaswa?
 
Imepapaswa vizuri sana leo na ikapanuliwa maana kikosi kipana kinahitaji kupanuliwa hivi hivi.
 
Mashabiki wa mbumbumbu fc watakua leo wameamka wakiwa wamelegea kweli kweli baada tu ya KUPAPASWA vilivyo na Ruvu Shooting hiyo jana.
 
Back
Top Bottom