Sijui Lissu yuko wapi? UN wanamlilia Magufuli kama kiongozi bora

Kwa sababu alisababisha pm kusema uongo msi
Kwa sababu alisababisha pm kusema uongo msikitini kwamba anachapakazi kumbe marehemu,hapo lofa nani bwashee?
Acha roho mbaya bwashee
 
Watanzania wengi ni wajinga sana na cha ajabu hata wasomi pia ni wajinga ki protocal lazina UN wafanye hivyo na hawajafanya kwa magufuli pekee bali kwa marais wote walio fia madarakani na wakiwa marais kwa mujibu wa katiba,
 
Ninamuunga mkono Lissu kuwa siwezi kumchekea nyani.
Anipige risasi 19 halafu nikupende?
Yena Lissu muungwana sana, ingekuwa mimi ningejitoa muhanga hata kwa Jeaca
 
UN hawamlilii Magufuli bali wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili wapate upenyo wa kumuingia Madam, usiombe kucheza na mabeberu wewe.
Kwani hata wanajua mwenda zake kaendaje basi?
 
Tanzania no mwanachama wa un,kutuma rambirambi au kutoa pole ni kawaida tu
 
Ninamuunga mkono Lissu kuwa siwezi kumchekea nyani.
Anipige risasi 19 halafu nikupende?
Yena Lissu muungwana sana, ingekuwa mimi ningejitoa muhanga hata kwa Jeaca
Aliilkuwa anawakilisha maslahi ya nani? Wahuni, mabeberu.

Mwingine anawakilisha maslahi yako, anapigana na dunia pesa zije kwako. Mtanzania.
 
Haitaondoa ukweli kua JPM amearibu sana Tanzania; ni kiongozi mjinga ambae hakufuata taratibu tulizojiwekea kama nchi kwa manufaa yake. Iwapo angeona kama hayafai angeanza utaratibu ya kuyafuta na kuandika yanayofaa bali siyo kuyapuuza tuliyoyaandika ili yatuongoze.

Wajinga tu ndo wanamkubali.
 
We hata ujumbe wa nyumba kumikumi huuwezi , lakini ki mdomo kirefu kama chuchunge .
 
Aliilkuwa anawakilisha maslahi ya nani? Wahuni, mabeberu.

Mwingine anawakilisha maslahi yako, anapigana na dunia pesa zije kwako. Mtanzania.
Magufuli hajawahi kupigania maslahi yetu bali yake binafsi.
Alijijengea uwanja wa ndege, hospital nk huko kwake.
Amwfuja mali mingi sana, alichoifanyia nchi ni kidogo mno kuliko alivyofaidi.
Wapumbavu pekee ndio humsifu.

Lisuu ndiye mpigania wanyonge.
Akiwa raia na wakili wa kujitegemea amesaidia watu zaidi ya 300 kuwatoa magerezani bila hata senti ya serikali, mtu huyu angepata ridhaa angeiinua sana nchi na si huyu muuaji wenu
 
We hata ujumbe wa nyumba kumikumi huuwezi , lakini ki mdomo kirefu kama chuchunge .
Ni kichaa pekee ndo anaweza kuwanyima watoto chakula kisa anajenga nyumba. Yaani huyo kichaa wenu anasema hawezi kuwaongeza mishahara wala kuwapandisha madaraja watumishi wa Umma kisa eti anajenga sijui SGR ..JNHPP. Kwani waliokua wanaweka hizo sheria hawakujua kua miundombinu zitakua zinajengwa?

Alafu wewe mjinga unasema huyo alikua kiongozi.
 
Magufuli amewasadia wangapi kwa elimu bure miaka mitano, 10 miĺloni ndani ya miaka mitano.
 
Aliekuambia wewe unazo akili na si mjinga nani ? Ufusadi ndio chakula ? Nani kafa njaa Tanzania?
 
Aliekuambia wewe unazo akili na si mjinga nani ? Ufusadi ndio chakula ? Nani kafa njaa Tanzania?
Kuongeza mishahara na kupandisha madaraja ndiyo ufisadi?
 
Kuongeza mishahara na kupandisha madaraja ndiyo ufisadi?
Nani kafa njaa? Nchi ni mipango mipango ilipangwa na ikatekelezwa kwa kiwango cha kasi zaidi , kiongozi sio tu kimridhisha chuchunge ale avimbiwe na kulewa, mipango ya maendeleo taifa zima ndio ilikua mipango mikakati.
 
Mipango yanakua kwenye maandishi ili akija kichaa anaweza kuyatekeleza siyo maamuzi ya mtu mmojammoja. Mnaodanganywa ni wengi sana; jioni njema.
 
Magufuli amewasadia wangapi kwa elimu bure miaka mitano, 10 miĺloni ndani ya miaka mitano.
Magufuli hajafanya chochote kwa fedha yake, hiyo elimu bure sio bure tunalipa sisi kupitia kodi acha uzwazwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…