Sijui Lissu yuko wapi? UN wanamlilia Magufuli kama kiongozi bora

Mipango yanakua kwenye maandishi ili akija kichaa anaweza kuyatekeleza siyo maamuzi ya mtu mmojammoja. Mnaodanganywa ni wengi sana; jioni njema.
Wewe kwa maono yako
 
There is nothing special about it,kama walikuwa wanamkubali kwanini walimuita" a stain in humanity"?
Pili,hata kama hawakumpenda,he was the head of state,and TZ is the member of UN,he is just celebrated courtesy of being the head of member state.nothing more.
Tatu Raisi aliyepo ni mwanamama sasa hv,na kwa UN kwa vile ni agency ambayo ni pro women leaders,wameamua kumuonesha Madame Samia heshima kwa kumkumbuka Mtangulizi wake.
Nne,c mon men,Dead people do not talk,or do no shit.
 
Miaka ya nyuma Lissu alikuwa mtu mahiri sana ktk anga ya siasa nchini,

Lakini kwa sasa ni mmoja ya mwanasiasa mpuuzi na lofa kwelikweli
Amenunulika kuivuruga nchi
 
Reactions: tyc
UN hawamlilii Magufuli bali wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili wapate upenyo wa kumuingia Madam, usiombe kucheza na mabeberu wewe.
Kwa hiyo kumbe Magu alikuwa sahihi misimamo yake!
 
Leo hawajawa mabeberu tena 😃 ignorance ni kitu kibaya sana
 
Akili yako ni matope. Yaani unasubiri mtu wa nje aje aeleze sifa za nyumbani kwako? Yaani ina maana mtu wa nje anaijua vizuri nyumba yako kuliko wewe mwenye nyumba? Huo ni upumbavu na utapiamlo wa akili.
 
Hiyo ni tabia ya diplomasia, naweza pia kusema ni formality, nikumbushe lini walimsifia akiwa hai? Unastahili pole.
 
Hata Hayati Ruge M UN ilimlilia cha ziada nuni?
 
Si alinunua zile ndege mbovu kwao? Lazima wamlilie.
 
Hujui kitu!
 
Wazungu walijua Magufuli ni jembe la nguvu wala haingiliki! kwa sababu hiyo walimchukia na hawakutaka kukiri uzuri wake mpaka baada ya kifo chake! They admire him a lot!
 
SAfi sana ndio washushuke!
 
Ngosha mbona unahangaika sana?
rudi usukumani mkafyatue watoto, elimu bure kwa wote 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…