Pre GE2025 Sijui ni Kilimanjaro ipi Mbowe anadhani atapata Wabunge, nimepita Hai, Moshi, Mwanga na Same kote CCM ni Imara na Inapendwa mno!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
2015 na mbaya zaidi ilikuwa 2020; CCM ya Jiwe ilinajisi uchaguzi waziwazi. Taifa halijakuwa na uchaguzi toka Kikwete alivyostaafu.

Mh. Mbowe yupo sahihi uchaguzi huru na haki CCM haipati hata jimbo moja Kilimanjaro.
Uchaguzi wa mwaka gani chedema ilishawahi kuwa na majimbo mengi kuliko ccm ? Au umesikia habari za vijiweni majimbo ya kilimanjaro kila uchaguzi ccm anapata viti vingi .
 
Ni umasikini, ujinga na uoga tu ndgu yangu, hicho chama hakipendwi hata...
 
Wewe ni mkaazi? Au mpitaji?
 
Siku tukiacha kuchagua chama badala ya kuchagua mtu ndiyo siku tutapona , haiwezekani lichaguliwe lizezeta kisa ni ccm au chadema ndiyo maana hatuendelei kisa uvyama ...upande wangu ukiwa smart sijali unatokea pande ipi utapewa ndiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…