johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Hatua 3 za UlanziUlanzi ni togwa toka kwenye mianzi, hauleweshi.
Leo = Mtogwa
Kesho= Mkangafu
Keshokutwa =Mdindifu
Bamboo Juice 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatua 3 za UlanziUlanzi ni togwa toka kwenye mianzi, hauleweshi.
Uchaguzi wa mwaka gani chedema ilishawahi kuwa na majimbo mengi kuliko ccm ? Au umesikia habari za vijiweni majimbo ya kilimanjaro kila uchaguzi ccm anapata viti vingi .2015 na mbaya zaidi ilikuwa 2020; CCM ya Jiwe ilinajisi uchaguzi waziwazi. Taifa halijakuwa na uchaguzi toka Kikwete alivyostaafu.
Mh. Mbowe yupo sahihi uchaguzi huru na haki CCM haipati hata jimbo moja Kilimanjaro.
Naona umepiga cha Makete leoEndelea kukariri
Kaskazini labda Karatu tu 😂🔥
Kwanini Njombe kuna tatizo la lishe?Hatua 3 za Ulanzi
Leo = Mtogwa
Kesho= Mkangafu
Keshokutwa =Mdindifu
Bamboo Juice 🐼
Tunataka haki na siyo hisani ya RaisAnasema hivyo kwa hofu ya kuibiwa kura! Kama atashindwa wakati Tume ni huru na Wananchi wameamua wenyewe kwenye sanduku la kura hata asiposhinda urais! Ili mradi haki itakuwa imetendeka.
Njombe ipi hiyo ?Kwanini Njombe kuna tatizo la lishe?
Tatizo la utapiamlo huwakimba watoto si kwa sababu ya uhaba wa chakula ila ni wazazi kutokua na muda wa kuwaandalia chakula vizuri watoto kutokana na kutumia muda mwingi kwenye kilimo.Kwanini Njombe kuna tatizo la lishe?
Wewe ni mkaazi? Au mpitaji?Kiukweli mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe asiwadanganye wanachama wake, Kilimanjaro na Arusha CCM ni Imara sana
Jimbo pekee lenye changamoto ni Karatu Arusha lakini Majimbo yote ya Kilimanjaro ni CCM
Nipo hapa Lembeni kwa rafiki yangu Chediel tukibadilishana mikakati na Wanaccm maana wananiambia Lema na Mbowe juzikati walikuwa mitaa hii
CCM oyee 😄😄😄