Pre GE2025 Sijui ni Kilimanjaro ipi Mbowe anadhani atapata Wabunge, nimepita Hai, Moshi, Mwanga na Same kote CCM ni Imara na Inapendwa mno!

Pre GE2025 Sijui ni Kilimanjaro ipi Mbowe anadhani atapata Wabunge, nimepita Hai, Moshi, Mwanga na Same kote CCM ni Imara na Inapendwa mno!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
2015 na mbaya zaidi ilikuwa 2020; CCM ya Jiwe ilinajisi uchaguzi waziwazi. Taifa halijakuwa na uchaguzi toka Kikwete alivyostaafu.

Mh. Mbowe yupo sahihi uchaguzi huru na haki CCM haipati hata jimbo moja Kilimanjaro.
Uchaguzi wa mwaka gani chedema ilishawahi kuwa na majimbo mengi kuliko ccm ? Au umesikia habari za vijiweni majimbo ya kilimanjaro kila uchaguzi ccm anapata viti vingi .
 
Ni umasikini, ujinga na uoga tu ndgu yangu, hicho chama hakipendwi hata...
 
Kiukweli mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe asiwadanganye wanachama wake, Kilimanjaro na Arusha CCM ni Imara sana

Jimbo pekee lenye changamoto ni Karatu Arusha lakini Majimbo yote ya Kilimanjaro ni CCM

Nipo hapa Lembeni kwa rafiki yangu Chediel tukibadilishana mikakati na Wanaccm maana wananiambia Lema na Mbowe juzikati walikuwa mitaa hii

CCM oyee 😄😄😄
Wewe ni mkaazi? Au mpitaji?
 
Siku tukiacha kuchagua chama badala ya kuchagua mtu ndiyo siku tutapona , haiwezekani lichaguliwe lizezeta kisa ni ccm au chadema ndiyo maana hatuendelei kisa uvyama ...upande wangu ukiwa smart sijali unatokea pande ipi utapewa ndiyo
 
Back
Top Bottom