Lugano Edom
Senior Member
- Dec 2, 2021
- 161
- 298
Afrika yetu sijui ni Tanzania yetu..
Watu wanaweza. Wakupe mchango wa
Harusi
Birthday party
Rambi Rambi
Lakini hawezi akakupatia Mtaji. Na hata ukianzisha biashara Anaweza Asije kukusapoti. Ndio kwanza anaweza aanze kukusema vibaya na asubirie anguko lako.... Sijui sisi Tukoješ¤£