Lugano Edom
Senior Member
- Dec 2, 2021
- 161
- 298
Una biashara gani tukuungisheAfrika yetu sijui ni Tanzania yetu..
Watu wanaweza
Wakupe mchango wa
Harusi
Birthday party
Rambi Rambi
Lakini hawezi akakupatia Mtaji. Na hata ukianzisha biashara Anaweza Asije kukusapoti. Ndio kwanza anaweza aanze kukusema vibaya na asubirie anguko lako.... Sijui sisi Tukoješ¤£
Usichanganye social responsibilities na economic responsibilities.Afrika yetu sijui ni Tanzania yetu..
Watu wanaweza. Wakupe mchango wa
Harusi
Birthday party
Rambi Rambi
Lakini hawezi akakupatia Mtaji. Na hata ukianzisha biashara Anaweza Asije kukusapoti. Ndio kwanza anaweza aanze kukusema vibaya na asubirie anguko lako.... Sijui sisi Tukoješ¤£
Una biashara gani tukuungishe