sasa nielekee wapi?
Kwenye ile thread nyingine nilikushauri achana na huyo mwanamke.
Utakufa kwa presha bure.
au alikosea kutuma hiyo sms ikawa imekuja kwako,sasa ikambidi aanze kukuzuga,naona ni kitu kama kafanya vile
Huyu ndo yule ulimsemaga kuwa ni mzuri sana hadi anafatwa na vibosile? Nakwamba alihamua kuwa wako baada yakuwa umempa support fulani?
Kama jibi ni ndiyo basi tambua hauko peke yako. Na zaidi chunga sana maana vigogo wengi si wazima!
mkuu dah! Hujasoma tafsida? Au ndio umezoea kama chai?Hana lolote watu ''wanatomba'' tu huyo.
Kwenye ile thread nyingine nilikushauri achana na huyo mwanamke.
Utakufa kwa presha bure.
Miaka mitano na hujatangaza ndoa lazima akufanyie majaribio fulani ili ujue kama yuko marketable. Ningekuwa mimi nishakumwagaaee
Huyo anajua umezama. anazidi kukuzamisha tu. teh teh teh.
sasa nielekee wapi?
Yalah!! . . .ukiona manyoya. . . . . .
mkuu umetisha :*π !ujue hajanyoa π
:biggrin:
Billie, natamani nikushauri vingine
lakini huu ndio ukweli.
Mwanamke akipenda, wanamme wengine anawaona kama wamevaa magauni.
Sasa huyu anayewaza kukusaliti??? Wake up!