Sijui nieleweje hii sms.

Sijui nieleweje hii sms.

Kwenye ile thread nyingine nilikushauri achana na huyo mwanamke.
Utakufa kwa presha bure.

itaeleweka kilichomuua ni MAHABA,,,,si vibaya...amekua teeeeeja,teja wa mapenziiiiiii,amekula uuuunga oooh hajiwezi
 
Hili nalipa nafas hata mimi
au alikosea kutuma hiyo sms ikawa imekuja kwako,sasa ikambidi aanze kukuzuga,naona ni kitu kama kafanya vile

maana inawezekana anahis aibu tuuuuu,,,,,but kuliwa ameliwa
 
Huyu ndo yule ulimsemaga kuwa ni mzuri sana hadi anafatwa na vibosile? Nakwamba alihamua kuwa wako baada yakuwa umempa support fulani?
Kama jibi ni ndiyo basi tambua hauko peke yako. Na zaidi chunga sana maana vigogo wengi si wazima!

u mean ni walemaavu?????
 
Kwenye ile thread nyingine nilikushauri achana na huyo mwanamke.
Utakufa kwa presha bure.

next thread tunataka aje atuambie ameambukizwa ukimwi. Itakuwa poa zaidi.
 
Miaka mitano na hujatangaza ndoa lazima akufanyie majaribio fulani ili ujue kama yuko marketable. Ningekuwa mimi nishakumwagaaee
 
Miaka mitano na hujatangaza ndoa lazima akufanyie majaribio fulani ili ujue kama yuko marketable. Ningekuwa mimi nishakumwagaaee

mamaaaa make up mamaaaa wa mawanja na lipshine. Upo, eeeh limit yako ni miaka mingapi au ilikuwa miaka mingapi kusubiria mtu akipitiliza unapiga chini?
 
sasa nielekee wapi?

Kwani wanawake wameisha? Kama yale uliyoandika kwenye ile thread nyingine na kwenye hii thread ni ya kweli kabisa, hata kama mkioana, utakuwa unaishi kwa pressure bure. I may sound rude lakini inaonekana kama huyo mwanamke sio size/level yako hata kama unampenda to the extent that unakuwa huna hata confidence kuwa ni wako au atakuwa wako pekee.
 
Billie, natamani nikushauri vingine
lakini huu ndio ukweli.

Mwanamke akipenda, wanamme wengine anawaona kama wamevaa magauni.

Sasa huyu anayewaza kukusaliti??? Wake up!

Konnie anataka umshauri anachowaza yeye
hapo kwenye red umenena
huyo dada kwa nini anajaribujaribu kucheat hajiamini kuwa nawe au wewe hautekeleze anayohitaji
pengine wale matajiri wanamtia kishawishi cha kujaribu kucheat
 
Huyu ndo yule ulimsemaga kuwa ni mzuri sana hadi anafatwa na vibosile? Nakwamba alihamua kuwa wako baada yakuwa umempa support fulani?
Kama jibi ni ndiyo basi tambua hauko peke yako. Na zaidi chunga sana maana vigogo wengi si wazima!

daaaah,unamtia woga mwendhio mdau
 
Duh.
Yani anakwambia kabisa!?? ... Atakuwa tayari ashatusuliwa mara kadhaa japo si mara kibao maana anakuogopa.
 
Unajua wanawake wana mambo mengi,pengine alikuzunguka sasa ana prove kuona kama umemshtukia.Cha kufanya uwe makini kwan kuna siKu atasema ooh! Mpenzi nimekusaliti samahani.Chunga sana maheshimiwa na anza kuzifuatilia kauli zake,utapata maana bro.
 
Back
Top Bottom