Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 270
- 450
Habari zenu wanajamvi,
Natumaini kuwa mko poa sana na mnaendelea vizuri na kazi zenu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kiukweli nimeingia kwenye mapenzi na wasichana wawili, kiukweli wananipenda kuliko kawaida na mimi.
Pia nawapenda sana kiasi kwamba nashindwa kuamua ni msichana gani anafaa kuwa mke wangu yani kifupi nipo njia panda sijui nifanyeje.
Ushauri wenu tafadhali