Sijui nifanyeje

Sijui nifanyeje

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
270
Reaction score
450
Habari zenu wanajamvi,

Natumaini kuwa mko poa sana na mnaendelea vizuri na kazi zenu.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kiukweli nimeingia kwenye mapenzi na wasichana wawili, kiukweli wananipenda kuliko kawaida na mimi.

Pia nawapenda sana kiasi kwamba nashindwa kuamua ni msichana gani anafaa kuwa mke wangu yani kifupi nipo njia panda sijui nifanyeje.

Ushauri wenu tafadhal
i
 
Mkuu nashindwa nikupe pole au vipi kwamaana tatizo ulilopo limesababishwa na tamaa.Ila pia siwezi kukulaumu saana kwavile hata mimi nilishawahi kuwa katika hali kama hiyo ingawa ushapita muda kidogo.

Wahenga walisema ukiwa na vitu viwili unavyovipenda,ni vizuri ukabaki na chaguo la pili.Walisema hivi wakiwa na maana ya kwamba,kama ungekuwa kweli umelipenda chaguo la kwanza hakika husingehadaika na chaguo la pili (tafsiri yake ni kuwa macho au moyo wako umependezwa sana na chaguo la pili kuliko la kwanza)

But mkuu kwa situation yako ni kwamba umezungumzia "mke".Kama ni kweli unatarajia kuoa mmoja kati ya hao wawili basi ni heri ukachanganua tabia zao na mambo yao kwa ujumla.

Ila kuwa makini na fanya maamuzi haraka,maana MTAKA YOTE KWA PUPA HUKOSA YOTE MKUU.

"Analyse"
 
Wa kwanza hafai kuwa mke maana angekuwa anakufaa usingeangalia wengine. Hivyo, oa wa pili (Uliyekutana nae juzi juzi).
 
mabinti wa siku hizi wana tabu jaman

nimejaribu kuimagine kila mmoja wa hawa mabinti ana true love kwa huyu kijana tena wako honest and loyal wakiamin kwamba hana mwingine.

kumbe the fella is not genuine ata kidogo ana kazi ya kuwaongopea nakupenda nakupenda kumbe anawapotezea muda tuu manake ka tamaa zake akikutana na watatu akawa na kitu kizuri zaid basi atamuongeza na huyo kundini.

wewe hufai kuwa na mpenzi, manake kwanza ni heartbreaker, na tapeli wa mapenzi. nataman Mungu akirudishe icho kikojoleo ndani ili sasa ushindwe kabisaa usiendelee kuwaumiza mabinti wa watu kiasi hiki
 
Kuna mtu alisema hivi nanukuu

"KAMA UNA WAPENZI WAWILI NA WOTE UNAWAPENDA SANA ILA UNATAKA KUMUACHA MMOJA NI VEMA UKAMUACHA WA KWANZA KUMTONGOZA KAMA UNGEKUA UNAMPENDA SANA USINGEMTONGOZA WA PILI"
 
Mwambie usiyempenda umepima hivi karibuni ukajikuta una ngoma, halafu mwambie tafadhali usinitangaze, nimekuamini ndio maana nimekuambia.
 
Andika sifa utakazo kwa mkeo, then wapime kwenye mzani huo bila upendeleo! atakae-win huyo mfanye Wife.....Kila la kheri
 
Karamu mbili zilimshinda fisi! andika majina yao kisha kumbushia enzi zetu zileee unanyanyua pen kisha unashusha jina utakalolenga ndio hilo tulijibu maswali kwa style ya kufumba macho.
 
Karamu mbili zilimshinda fisi! andika majina yao kisha kumbushia enzi zetu zileee unanyanyua pen kisha unashusha jina utakalolenga ndio hilo tulijibu maswali kwa style ya kufumba macho.

Hahaha! ana ana anado
 
we dini gani mkuu..kama una share imani na sheikh kipozeo unaweza kuwaoa wote tu
 
Mkuu nashindwa nikupe pole au vipi kwamaana tatizo ulilopo limesababishwa na tamaa.Ila pia siwezi kukulaumu saana kwavile hata mimi nilishawahi kuwa katika hali kama hiyo ingawa ushapita muda kidogo.

Wahenga walisema ukiwa na vitu viwili unavyovipenda,ni vizuri ukabaki na chaguo la pili.Walisema hivi wakiwa na maana ya kwamba,kama ungekuwa kweli umelipenda chaguo la kwanza hakika husingehadaika na chaguo la pili (tafsiri yake ni kuwa macho au moyo wako umependezwa sana na chaguo la pili kuliko la kwanza)

But mkuu kwa situation yako ni kwamba umezungumzia "mke".Kama ni kweli unatarajia kuoa mmoja kati ya hao wawili basi ni heri ukachanganua tabia zao na mambo yao kwa ujumla.

Ila kuwa makini na fanya maamuzi haraka,maana MTAKA YOTE KWA PUPA HUKOSA YOTE MKUU.

"Analyse"
Haha
 
Back
Top Bottom