Sijui niite bahati au nini hii?

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali.

Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.

Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja.

Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.
 
STUPID! Nyege ndio zinakufanyia maamuzi mkuu. Umeona uweke rehani Marinda yako kisa UCHI.

Mtu isipokufaa akili yako, utakudhuru Ujinga wako.

Be a Man, kulomba wake za watu ni udhaifu. Wanawake single wamejaa mtaani hawana watu wa kuwalomba, kwanini ukale makombo ya kidume mwenzio. Huwezi kutongoza?
 
Ni sawa tu sema tambua kwa mkapa hatoki mtu
#Diara soon hatupo naye golini
Kivip sasa
Naweza ila ni mremboo
 
R.I.P
 
Nke wa ntu sumu.
Huwa najaribi kuvaa uhusika pale ambapo ntagundua nke wangu kuna ntu nae anachovya dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…